NDORANGA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 216
- 376
-Aisee maisha ni safari isiyo na likizo,na UJASIRIAMALI ni mapambano ya kutumia fursa mbele yako iliyo Kama kikwazo...
-biashara yangu ya kwanza ilikua ni kuuza mbogamboga kwa wateja wa jumla na nilianza na mtaji mdogo sana, ambao nao wanaenda kuuza kwa wateja wa rejareja(wanapitisha mtaani),hii biashara ilinipa pesa sana,mbinu rahisi kwangu nilizozitumia ilikua hiviii...
1.nilianza kulima mbogamboga (kwenye bonde la mpunga lililotelekezwa kwa muda huo),nililima mchicha,matembele, Chinese,sukuma wiki na figiri,na majani ya maboga hapo sio kwa Sana sababu hayasapoti.
-mboga nilizolima nikawa nawauzia wanunuzi wa jumla(wale wanaotembeza barabarani),zingine nazipeleka kwenye magenge Kama manne tofauti(ambao pia nilikua nawalipa baadhi ya kiasi)
-biashara ilivyoanza kukua kwa Kasi,nkawa nasaidia na mtuwingine(huyu nilikua namlipa kutokana na faida),asubuhi tunamwagilia,jioni tunachuma kwa wanunuzi wa jumla
-aisee ilifikia stage nikawa naingiza zaidi ya sh 39,000 kwa siku kama faida(sio mapato)
"Kinachoongoza maisha ni AKILI sio UMRI"...