Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

Hahahah mamanzi bhana ,
Yaani hawatakiwi kuaminiwa mbele ya pesa Hata waonekane innocent VIPi ,mtu akipanda Bei wanapanda nae

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kama hutojali ungeweka mchanganuo wa hio biashara,
na swali lingine ni Kwa nn msimamiz wa iyo biashara asicheze mkuu Bado sijakuelewa
 
Kweli?
 

Aisee tusaidie huu mchongo bro na sisi tujikwamue kiuchumi
 
Mkeka mzuri mno huu,ila biashara yeyote bila kuwepo mwenyewe mtihani
 
Mi nilifungua biashara ya chipsi mitaa ya kijitonyama nikamuweka jamaa mmoja ivi,mwanzo mauzo yakawa vizuri tu maana nilikuwa namsimamia kwa karibu kila siku naenda pale ,nikaja kupata safari ya mkoa kukaa wiki 2 tu yaan kurudi tu nilikuta hasara tupu na biashara ikafungwa maana simu alikuwa hapokei hesabu ikawa haiwekwi tena kwa simu
 
Hivi vitu ni vya kawaida 😢, yaani waaminifu wapo na watu ww hovyo pia wapo usikate tamaa na usiache kujaribu zaidi na zaidi
 
sahihi kabisa biashara inatabia ya kumkomesha mtu sasa inatakiwa uiwahi kuikomesha yaani usimamie kucha mpaka kieleweke siyo unashika hiki unaacha unaanzisha lingine kisa watu wanasema biashara flani inalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…