Valeryon
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 439
- 821
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaika akitokea tena mwambie Huku pia tunahitaji msaadaSafi saana! Think deep it ain't illegal yet.
Mimi ilikuja Kama zali tu. Sikuplan Mara ghafla Kama nilionyeshwa kitu ba malaika. Nikapata wazo nikalitekeleza kimya kimya next day faida laki. Wahoooo!
Hahahah mamanzi bhana ,Mkuu umenikumbusha mbali niliwah fanya biashara ya hivyo nikamueka mke wangu kila siku ananiletea faida ya 25k nilifurah.kumbe Kuna mzee mmoja alikuw anamchukua anampa pesa inakuja kwangu Kama faida nakuja kugundus wife Yuko anabeba mizigo anahamishwa mkoa mwingine.
NB:ukimuweka mwanamke kwenye biashara tambua akuna mamende watamfukuzia na watakula .
Parsimony.... mabahiriSema nilicho jifunza kwa hawa watu kwanza wanna nidhamu kubwa sana ya fedha pamoja na mambo mengine.
unatoaje
unatoaje
Kama hutojali ungeweka mchanganuo wa hio biashara,Hii inalipa mkuu Mimi KWA mwez tu Napata faida sio chini ya million 1 . Kitu cha kuzingatia uwe na mtaji na hakikisha wateja hawaondoki na machenji ili wachina wakija kufungua wakutee mifuko Mingi . Mfano Mimi jana tu jumamos wamefunga mifuko 5 (Sawa na 45000) na hii ni makusanyo ya siku 2 tu haya jana nimeingiza mifuko 4 leo nimewambia wafungue 36000 . Kwahiyo jana na leo tu faida nimeingiza 81000.
Tahadhari ili ufaidi hii biashara hakikisha wewe au msimamizi wako hachez kabisa kamari akicheza tu ndugu yangu umeumia
Na hapa ni KWA kuwa mzunguko umekuwa mdogo zaman nilikuwa naweza kuuza hata mifuko zaidi ya 10 KWA siku
Fafanua Hapa kidogoBiashara ya kupiga picha watoto wa shule. Nilinunua kamera laki tu ila hizo pesa zinavyoingia mpaka unashangaa.
Kweli?Kuna biashara uchwara nimeifugua Zanzibar mtaji laki 2 na nusu, lakini hadi sasa Nimetengeneza zaidi ya milion tatu kwa siku kadhaa tu na kila siku nalaza faida ya laki Kama net profit.
Hela hata sipeleki benki natunza chini ya kapeti tu. Leo ndo napeleka benki milion 2.
I'm happy [emoji4]
View attachment 1722606
Onyesha kipato ulichokipata na jinsi ulivo withdrawKaribu ujiingizie kipato kwa simu yako
Utanishukuru baadae[emoji18]
Kuna biashara uchwara nimeifugua Zanzibar mtaji laki 2 na nusu, lakini hadi sasa Nimetengeneza zaidi ya milion tatu kwa siku kadhaa tu na kila siku nalaza faida ya laki Kama net profit.
Hela hata sipeleki benki natunza chini ya kapeti tu. Leo ndo napeleka benki milion 2.
I'm happy [emoji4]
View attachment 1722606
Toa ufafanuzi mkuu. Watu tuna njaa ya pesa utadhani TU EthiopiaView attachment 2229082
Usitumie simu vibaya kuna michongo mingi sana ya hela mitandaoni
Utanishukuru baadae[emoji1479]
Hivi vitu ni vya kawaida 😢, yaani waaminifu wapo na watu ww hovyo pia wapo usikate tamaa na usiache kujaribu zaidi na zaidiMi nilifungua biashara ya chipsi mitaa ya kijitonyama nikamuweka jamaa mmoja ivi,mwanzo mauzo yakawa vizuri tu maana nilikuwa namsimamia kwa karibu kila siku naenda pale ,nikaja kupata safari ya mkoa kukaa wiki 2 tu yaan kurudi tu nilikuta hasara tupu na biashara ikafungwa maana simu alikuwa hapokei hesabu ikawa haiwekwi tena kwa simu
sahihi kabisa biashara inatabia ya kumkomesha mtu sasa inatakiwa uiwahi kuikomesha yaani usimamie kucha mpaka kieleweke siyo unashika hiki unaacha unaanzisha lingine kisa watu wanasema biashara flani inalipaHAKUNA BIASHARA ISIYOLIPA KAMA UKIAMUA KUIFANYA KWA MOYO MMOJA NA UKAJIFUNZA, NARUDIA TENA KUJIFUNZA, KWA MARA NYINGINE KUJIFUNZA JINSI BIASHARA HIYO ITAKAVYOKUFAIDISHA NA MBINU ZA KUPATA WAHITAJI WA HUDUMA YAKO.
Nyie manosema biashara ni siri ya mtu basi siri yenyewe ndiyo hiyo hapo.
Usifanye biashara kama huna uelewa nayo. Usifanye biashara kama wateja wako huwajui na hujui wanapatikana wapi.
Usifanye biashara kisa wengi wanasema inalipa.
Usifanye biashara kisa umekutana na idea jamiiforum.
Usifanye biashara kama huna malengo nayo.
Usifanye bishara kama lengo lako ni kupata basic needs pasipo focus ya kufika mbali.
Tambua utofauti uliopo kati ya biashara ya kuanzia kutengeneza mtaji na biashara ya kukufanikisha maishani.
Biashara ni sanaa, inahitaji ubunifu ili kuendelea kuwepo sokoni. Wapo wanamuziki maarufu enzi hizo ila leo hawapo na hatuwasikii, hivi ndivyo biashara ilivyo.
Jifunze principles za biashara na usifanye biashara kisa unao mtaji, kama huna hobby ya business ACHA usiguse biashara na utafute mwenye hobby aendeshe biashara yako.
Mwisho, ukishika biashara moja, komaa nayo mpaka ikutoe ndipo uongeze biashara nyingine.
Narudia tena, kama unafanya biashara kwasasa, hakikisha hiyo biashara imekutoa na ndipo uanze biashara nyingine.
Akili za kuambiwa changanya na zako la sivyo utabaki kuishi NA idea za watu ambazo hujui wao wanazitumia vipi kupata faida kubwa kwenye biashara ambayo wewe unaiona ya kawaida.
Upo sahihi mkuu. Ukiishi kuruka ruka kwenye biashara hauwezi kufika mbali.sahihi kabisa biashara inatabia ya kumkomesha mtu sasa inatakiwa uiwahi kuikomesha yaani usimamie kucha mpaka kieleweke siyo unashika hiki unaacha unaanzisha lingine kisa watu wanasema biashara flani inalipa
hapo kwenye mambo mengine ndipo wanapotuacha hao jamaaSema nilicho jifunza kwa hawa watu kwanza wanna nidhamu kubwa sana ya fedha pamoja na mambo mengine.