Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kuhitaji na kupata malezi ya baba na mama sio sababu ya kufanya mtoto asizaliwe.Si kweli mtoto anahitaji malezi ya baba na mama katika ukuaji wake
Kibaolojia mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume. Basi tu ndo tunalazimisha mambo na haya masuala ya mke mmojaPole sana madam,lakin huu ndo uhalisia sisi wanaume hatuwez ona utamu wa maisha au kufurahia mapambano yetu na mafanikio yetu bila kuwa na mwanamke wa ziada wa kutumia
Na pamoja na kumpa iyo 20k ya nguo bado ukipiga umpe na posho kwaiyo unapigwa double taxationKununua aisee.yani nilimpa demu 20k ya nguo wakat nikienda site na hiyo 20k nakula mbususu mpaka jasho la meno.
Wewe mwenzetu vipi sio mwanaume?Huku kunako elekea, wanaume watakua Wehu, hii ni hatari, kuweweseka kila siku. Enyi wanawake punguzeni hiyo dosage, wagonjwa wenu watakufa kwa kuzidisha tiba.
πππππ
Hakuna kitu kama hicho, mwanamke ana akili timamu na anajua anachokifanya. Acheni huu ujinga wa ku-justify makosa ya mwanamke kwa kumrushia lawama mwanaumeMwanamke huwa jinsi mwanaume anavyom'treat...
Mwanamke mmoja anaweza kuwa mke sahihi huyu, akawa mchepuko kwa yule na malaya kwa huyu... Wanaume ndiyo huamua mwanamke aweje jinsi yeye anavyoona.
Kuepuka matatizo yote haya ni bora wanaume wajifunze kuzitawala hisia zao za kingono.
Upewe ulinziHapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.
Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili.
Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta wengi wanakuwa na wapenzi au mademu wanaowahudumia pasipo kuwa na uhakika kama kuna siku watakuwa wake zao.
Kwa ujumla haya makundi yote matatu ya wanaume yanahudumia malaya wasiochangamka.
Mchepuko sio mke kwa hiyo ukimkuta anapigwa pipe na mwanaume mwingine huna cha kufanya na the same akiolewa na mwanaume mwingine huna la kufanya. Kuhudumia mchepuko ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na wanaume dhaifu katika jamii.
G/f au demu naye ni malaya tu ambaye hauna mamlaka naye kama mke. Na wengi wanajiuza kwa wanaume wengine indirect.
Kuna risk zaidi ya kuambukizwa magonjwa kutoka kwa mchepuko na demu kuliko kutoka kwa malaya.Sasa kwa nini uhudumie malaya mkuu?
Ni bora mwanaume mwenye ndoa akanunua malaya kuliko akahudumia mchepuko. Malaya analinda ndoa yako kuliko mchepuko;
Malaya hana habari na mkeo, mchepuko sikuzote ni mpinzani wa mkeo na huwa wanataka watendewe kama wake wa ndoa.
Mwanaume ambaye bado hajaoa na aliyeoa, kumbuka malaya wanasave kibunda chako;
Malaya utamnunua kulingana na bajeti yako ya sasa, demu na mchepuko unayemtunza yeye anataka pesa zako tu na hata hajui unapitia kipindi gani kigumu kwa sasa kiuchumi au bajeti zako na malengo uliyojiwekea.
Hapa wanaume dhaifu hujitutumua kutoa pesa hata kama ni ya kukopa au akaharibu bajeti zake ili waonekane wanazo. Hili ni kosa kubwa sana.
Wewe endelea kumhudumia huyo demu au mchepuko
Kadiri anavyopendeza ndivyo unamtegenezea mazingira wanaume wengine wamueke ndani kabisa kama mke.
Vijana mnaojitafuta nunueni malaya acheni kuhudumia malaya.
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?
Usije na hoja ya kijinga eti tafuta hela wanaume makini hawatafuti hela kwa ajili ya wanawake.
Learn or Perish
Kutongoza ni gharama na upotevu wa muda. Kwanini nitumie muda mrefu kumbembeleza mtu anaekuja kwenye maisha yangu kuniongezea gharama za maisha kwa exchange ya mbususu wakati huduma iyo iyo naweza kuipata ndani ya nusu saa tu uko telegram au tinder?Naona hapo ni wanaume waache umalaya, hiyo ndio pona yao. Mahusiano huchukua muda kuyajenga, mkijaribu kuelewana, kuchukuliana na kupendana ili muweze kudumu na kuwa thabiti. Msiyaingie mahusiano kwa njia ya kuyagharamia, bali kwa mawasiliano ya kawaida zaidi mkiwa na lengo la muda mrefu. La sivyo, wote mtaendeleza umalaya tu wa kutumiana kingono na kiuchumi iwe ni kwa kununua au kuhudumia, vyote sawa.
π³π€£π€£Mkuu chunga ndimi hyoHapa kuna hoja
Tena naongezea hapo
Wanaume wapime mambo matatu iwe ni wahudumie, wanunue au waoe kabisa malaya
Kwa sababu hata hawa wake zetu nao ni malaya tu
Sio.Wewe mwenzetu vipi sio mwanaume?
Em sema kweli?!Wanawatesa wanaume dhaifu
Bora anaelalamika kuliko anaeshikishwa ukutaSio.
Pia silalamiki kuhusu mahusiano.
Hujambo lakini? Lol
Bado hujasema, na utadata mwaka huuBora anaelalamika kuliko anaeshikishwa ukuta
nina familia nzuri na maisha yangu yapo kwenye mwelekeo sahihi. Mimi kaka baba mtarajiwa wa kijana wa kiume, ni bora kijana wangu ateswe na mapenzi nitampa consultation atakaa sawa, lakini kijana kushikishwa ukuta ilo siwezi kukubaliana nalo, siwezi kuruhusu laana iingie kwenye uzao wanguBado hujasema, na utadata mwaka huu
Utashusha nyuzi hadi ubongo uvurugane, na bado utaishia kushindwa.
Poleeeee ππππ
Iko hivyo mkuuEm sema kweli?!
Utasema tUuh na lazima useme, hapa ndo kwanza trailer, bado movie enyewe, utawehuka huu mwaka, unataka au hutaki,nina familia nzuri na maisha yangu yapo kwenye mwelekeo sahihi. Mimi kaka baba mtarajiwa wa kijana wa kiume, ni bora kijana wangu ateswe na mapenzi nitampa consultation atakaa sawa, lakini kijana kushikishwa ukuta ilo siwezi kukubaliana nalo, siwezi kuruhusu laana iingie kwenye uzao wangu
Em apia.!Iko hivyo mkuu
Bado hujasema, na utadata mwaka huu
Utashusha nyuzi hadi ubongo uvurugane, na bado utaishia kushindwa.
Poleeeee
Wewe mmeo anajua kwako wako wangapi?Kama umeoa au una gelofrendi mfanyie SANITISATION kwenye simu yake,ujue mko wangapi mnaompiga.