Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Kama mkeo kaajiriwa na kuna huduma anatoa hela yake kwa ajili ya mahitaj ya familia,huyo sio mke ni mwanaume mwenzio

Hvyo usitegemee akufanyie kila kitu
 
Hiyo ni tabia binafsi ya mtu, mbona mimi naishi vizuri tu na FaizaFoxy na ni msomi, hivi nikifika nyumbani jioni hii nakuta juice baridi ipo kwa bedside table
Huyu ni mchaa Mungu ndo maana unaejoye mke wakiuslamu anae jitambua ni tofauti na wake wengine mkuu
 
Hawa wanawake tumewachekea sana now wananza cheza na pumbuz zetu.
Tunatakiwa tuwa-taliban tuu hawa
 
Vp mkuu Gari ya shem umeshanunua? Au umeamua kuandika aya 20?
 
Mkuu njoo tubadilishane huyu wakwangu nakuachia kama huyu wa darasa la saba umri haujaenda sanaa, ana degree mbili take home 1.8m watoto 4, mmchame njoo tubadilishane, mimi ntapiga sound akubali tu.
 
Kuna mmoja Bro alivuta baada ya kupiga chini wanawake kibao,akajipata akachukua kifaa pale loan Board,Bro kavuta Fuso tatu zinalaza laki nne na nusu kwa kusomba mchanga,yule mhehe sijui alifanyaje bwana bro Yuko wheeled toka siku Brazil alipopigwa saba na Germany mpaka Leo hajawahi simama,Hawa watu Mimi Huwa nawaita wadudu,ni wasumbufu bila formula,
The bad news nikachukua opposite na bro na bado napewa mgao wa kila huduma kuliko Tanesco yetu,sasa sijui Mimi na bro nani kala chuma ulete,Mimi hata Mbeya nikienda wifi zake wanasema hivi huyo ndo anakusumbua kimoyomoyo nasema Bora Mimi sio Bro alopigwa K Jin K O,hii Dunia Haina huruma na yeyote anaekosea maamuzi
 
Hatimaye umembwaga yule Mke wako anayekulazimisha upeleke watoto clinic na akikasirika anavunja simu yako?
 
huyu ni mhanga,tupe ushahidi kutoka kwako, usiseme ya wengine huyajui kwa undani.
 
Unaweza Kutana na huyo unaefkiria atakutii, mambo yakawa yaleyale ..cha msingi SI LAZIMA UOE
 
Jitahidi umzidi kipato mke/mchumba wako,hii inasaidia sana.
Japokuwa sio guarantee ya ME kuheshimiwa.
 
Lakini kwanini umtume mtu akuletee maji wakati wote mmerudi kazini mmechoka?
 
Ila kusoma na kuajiliwa huchochea mwanamke kua na kiburi kua mvivu kwa mme wake huanza kulinganisha workmate pomoja na boss wake, hata kama tabia ya umalaya hakua nayo anaweza kujifunza haraka.
Fanya utafiti wa wanawake wanaopendwa na waume wenye uwezo, utagundua wanawake wanaokaa nyumbani walivyo Vimeo. Wanazini hata na ma-house boy. Tabia haina mahusiano na Kabila, kazi, dini au itikadi. Malaya ni yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…