Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Kwa hiyo msomi nikifa hatokuja kuolewa tena mkuu??
 
Kwenye 100 unapata 3.
 


MKUU mke aliubwa kwa MWANAUME mwenye akili tu,


ukikosa Akili hata huyo wa standard seven atakushinda tu,


Usitupe lawama kwa wengine kaa chini na wewe pia ujitathmini kama una sifa za kuwa mme B'se tatizo linaweza kuwa wewe kuna mahali umepwaya kama mme au baba au kiongozi wa familia Ndio maana mke anakudhalau
 
Mkuu usiongee kama feminist, mambo ya kujianfalia kwanza kwa mwanamke msomi haisaidiii wale wana kiburi labda kama umekubali akupande kichwani kisa unabembeleza ndoa, mwanaume anae nyanayasika kisa anaogopa kuvunja ndoa ni mjinga sana alipaswa awe demu.
 
Wakati unatoka kazini umechoka, yeye alikuwa anastarehe wapi huko ambako hajachoka!!

Btw ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu. Kama huna, epuka mwanamke kabisa.
 
Hamna mwanamke anao zidi mwanaume akili labda ujanja janja au mwanaume kum-igonre tu, ili lipite


Tunazidiana KAZI za Akili kwa mme na mke, kazi ya Akili kwa mme ni tofauti na KAZI ya akili kwa mke

KAZI za Akili

👉Kukuza(mke)
👉 Kuimarisha(mume)
👉Kupunguza (mke)


MWANAMKE amepewa vitengo viwili ambavyo akili inaoperate NDANI yake 👉 kukuza na kufisha/kupunguza Ndio maana ukienda vibaya kwa mwanamke atakupunguza na kukufisha kabisa na hutoinuka hadi unaingia kaburini May be upate Neema ya MUNGU


Na waswahili husema ukiona mwanaume amefanikiwa/ameongezeka/amestawi ujue kuna mwanamke IMARA amesimama nyuma yake, Ndio hicho kitengo cha kukuza/kustawi ambacho akili huoperate NDANI ya MWANAMKE


MWANAUME akimuheshimu mwanamke atastawi na kuongezeka B'se ataachilia nishati chanya kwake



Kumaintain/kuimarisha hichi kitengo MUNGU alikiweka kwa MWANAUME 👉 ukiona NDOA au mahusiano yameimarika , yamedumu ujue MWANAUME ameipa Akili nafasi itende KAZI yake NDANI yake



Note : Akili inaongoza, haingozwi
 


MKUU unajua wajibu wa kuimarisha NDOA yako ikawa IMARA na kudumu hadi kifo kuwatenge ni wako wewe baba i.e kiongozi wa familia?
 
Umemkosea Sio bure
 
Jihudumie mwenyewe kwani ni lazima uhudumiwe na mtu?
Ndiyo mimi ni mwanaume rijali, wewe ndo maana wewe na wenzako ni singo maza, kwa ujuaji wenu, unalazimisha mme wako awashe vyombo.
 
Nimekujua kugundua wale watu waliosema wao watawapenda wakae zao na watawabadilisha kwa upendo na kusema hawatakuwa wakoloni kama wazee wao ndio wanaoteswa na mapenzi na wake zao
Mahali panapoitaji decision na kusimama kama mwanaume usiwe u mr romantic ila masculity.
Wengi tangu mwanzoni hawakuchora mstari wa the do's and don'ts from the scratch, kuja kushtuka too late
Muonyeshe mwanamke ni nini unataka na nini utaki sio ukirembuliwa macho tu unalegea, pumbavu kabisa
 
Ili
Nakuelewa sana il Ata mimi linanipa mawazo sana Ebu just imagine mama kaishia darasa la saba au fomfour failure hivi watoto watasoma kweli?? Ni kweli ni submissive Ila Sasa exposure ya maisha zero Ila hao wasomi ni exposed but not submissive haka ni ka mtihani sana lakini

Conclusion bora kuoa tabia kuliko hayo material thing education is a material thing kama una degree oa diploma, certificate, mzidi umri hela, urefu, Akili


Mwanamke acha kuzidi upendo, kuabudu,

Ila hakikisha hekima zenu zinakuwa sawa
 
Unachokikusudia kitayabadili maisha yako kwa kiwango kikubwa sana, hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…