Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Ndiyo mimi ni mwanaume rijali, wewe ndo maana wewe na wenzako ni singo maza, kwa ujuaji wenu, unalazimisha mme wako awashe vyombo.
Wewe utakuwa mtoto wa singlemaza umezoea kudekadeka hovyo sisi wanaume wengine issue kama hizo ni ndogo sana
 
Wengi mna ile dhana kwamba, "nikio mwenye degree, tutasaidiana maisha"
Pole sana, Wanawake wa ngazi hiyo wana sifa hizi:-

1.Kukosa uaminifu
Kabla ya ndoa na wewe, mwenzio alikua na ndoa huko chuoni
Kabla ya ndoa na wewe mwenzio alikua anatunzwa na mume wa mtu
Baadaya wewe kuoa, mwenzio ana mwenzie huko kazini/kwenye biashara zake
Baadaya ya wewe kuoa bado yuko na yule Ex kipenzi.

2.Kukosekana amani na utulivu kwenye ndoa
Baada ya kuoa ndio utajua umeingia kwenye mahangaiko yasiyo na mwisho, uko kwenye kitanzi na unajinyonga mwenyewe taraaaatiiiibuuu.
Hao watu hawana unyenyekevu, hawana utii, hawana upendo wa kweli, hawana kujishusha wao kila vita lazima wapigane. kama vipi anabeba vilivyo vyake anakwenda kupanga chumba/vyumba, kwa sbb kipato anacho. Wewe unajenga nyumba mwenzio anabomoa!

Hivyo ndoa za sasa ni kama unafanya betting
Oa at your own risk
 
Huyo tiyari ana mume mwingine kazini kwake.
 
Ameeen🙏🙏🙏
 
hakuna zuri kwa hao viumbe, awe wa chekechea C ama uniV, kama hakupendi kwa dhati kutoka moyoni mwake ni KAZI BURE tu. raha ya mapenzi ni mwanamke akupende wewe zaidi, hapo utaENJOY mapendo haswa. kinyume na hapo ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
Huna cha kumfanya au kumfanyia mwanamke ili akupende. Mwanamke anatakiwa akupende yeye na siyo umpende wewe.
Akikupenda atakuvumilia kwa yote. Lakini kama anao mpango mbadala, UTALIA na kuyasaga meno.
 

Nakukatalia ww huna pesa, huna mashiko au ushawishi pia huna nyota ya kuogopeka hii inaendana na watu wasiojiamini jikubali jiamini
Mwanzo nilioa darasa la saba lakini alikuwa mburula na USHENZI mwingi nikafanya mabadiliko mwaka wa 10 sema ukiwa rofa mke anakuwa mjanja mjanja ukiwa mjanja mke anakuwa rofa hakikisha mapenzi hayakuendesh
 
Noted
 
Hapo boda boda anajilia mzigo kiulaiiiiiiini
 
Ukitaka mke awe ni WA nyumbani, akusogezee maji kwani yeye hajachoka? Na yeye ametoka kazini amechoka, hao Wana mission zao humuwawezi, wanaume oeni mhudimie familia zenu, hivi hata wivu hamna? Yote naacha nasema Moja tu, hivi wake zenu wakienda kazini Wana usafiri wao au huu wa mwendokasi wa kubambiana? Mke wangu hawezi enda kubambiwa kwenye mwendo kasi hata siku Moja, kwa njaa ipi? Hapana.
 
hasty Generalization

Hii hutokea pale mtu anapotoa hitimisho au maoni kwa kutumia uzoefu ama taharifa dhaifu au zilizofanywa na kundi la watu wachache.
 
 
Kazi mwanamke anayofanya inaweza kumfanya kuwa mke bora au wa hovyo. Mfano Bankers ni wanawake wa hovyo lakini Walimu ni wanawake bora.
Angalia viongozi au watu waliofanikiwa kama kuna aliyeoa banker
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…