Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa



Ulimwengu umeubwa kwa kanuni na zipo zinaexist na ukizifuata hutokutana na ukinzani katika MAISHA na hata kama ukikutana nao utaumudu



Ukiwa na UPENDO MWANAMKE yoyote yule hata awe na kiburi na jeuri KIASI Gani lazima atashuka chini tu, katika vitabu vitakatifu MUNGU ametuagiza👉 "tuwapende wake Zetu kama KRISTO alivyolipenda kanisa"



Huwezi kutoa Kitu ambacho huna, tunatoa tulivyonavyo sasa huwezi kutoa upendo kwa mke kama huna UPENDO na watu Wengi hawaelewi maana ya UPENDO au UPENDO ni Nini...!



Wanaume wengi wa dunia hi ya anguko wanamapenzi hivyo hutoa mapenzi kwa wake zao wakidhani wanawapenda wake zao, kumbe wanamapenzi na wake zao Kitu ambacho ni kinyume na kanuni ya universe Ndio maana wanakutana na ukinzani na maumivu, wake zao wanashindwa kuwatii na kuwaheshimu
 
Hao hao wenye elimu ya chini mkijiendeleza mnapata mpaka PhD mnaanza kuwanyanyasa kisa elimu yake ndogo wakati ulimuoa ukiwa unafahamu, kuna mmoja alipata nafasi kwenda kusoma nje kamnyanyapaa mkewe kaenda mwenyewe miaka 5, na alifadhiriwa kila kitu, halafu msomi mwenyewe ukimuona kama dish halipo sawa😀😀😀
 
Wakati mwingine wanaume wenyewe wanakuwa na shida Kwa wake zao , mke akihoji anaonekana mkorofi ,
 
Wakati mwingine wanaume wenyewe wanakuwa na shida Kwa wake zao , mke akihoji anaonekana mkorofi ,
Anahoji nini kwanini naizishe ligi kwangu, mfarakano wafamilia huzaga pale kwenye kuhoji hoji.
 
Kaa kama Paulo bwana
 
Hahaha
 
Hamna mwanamke anao zidi mwanaume akili labda ujanja janja au mwanaume kum-igonre tu, ili lipite
Tatizo liko hapa huu utafiti wako unahusu akili kwenye nini? Yeyote utakae mpata kudumu na kuelewana kwenu kutatokana na misingi mliojiwekea. Haijalishi kasoma au hajasoma
 
Wanawake wasomi walio submissive bado wapo haswa wale wenye hofu ya Mungu na waliokuzwa traditionally.

Ila hawawezi kuwa submissive kama wale wasiosoma na tegemezi maana hawa hunyenyekea si kwa mapenzi Ila hawana option nyingine ya kuishi zaidi ya kumfurahisha mwanaume.


Kingine mwanamke msomi anapenda reasoning kiasi ambayo inaondoa ule utii ambao wengi wanautafuta. Kwa hiyo battle inazidi kuwa ngumu
 
Hawa la saba au ukifa nani atawasomesha wanao hivi kwanza mkuu unaijua "vicious poverty circle" hio inasema kama unazaliwa baba maskini, watoto masikini automatic na wajukuu wanakuwa maskini, hivo Ata kielimu mama hakusoma unatarajia watoto watasoma Covax
 
Ni mkeo tu ondoa hiyo dhana potofu ndugu, mimi nimesoma mpaka degree ya pili ,naongia jikoni nampikia na kumtii ,i mume wangu Mambo yote km mke nafanya,shida ya ninyi mnazidisha ,mnataka mke yaani sijui afanyaje
 
Ni mkeo tu ondoa hiyo dhana potofu ndugu, mimi nimesoma mpaka degree ya pili ,naongia jikoni nampikia na kumtii ,i mume wangu Mambo yote km mke nafanya,shida ya ninyi mnazidisha ,mnataka mke yaani sijui afanyaje
Ndagha Jubha!
 
Wewe una level gani ya elimu kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…