Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Vicious cycle of poverty haina uhusiano na elimu ya mama kwasbb anae tafuts riziki sio mama ni Baba, suala la kusomesha ni mtu binafsi hata yule ambae ajaenda shule kabisa anaweza kusimamia watoto wakasoma, suala la kufa hata mke anaweza ajatangulia mbele ya haki.
 
Umenikumbusha mkufunzi mmoja wa chuo cha pale kurasini kwenye Junction ya kwenda Bandarini na mtoni kwa Azizi naye alioa house keeper. Alikuwa mzuri ila wanafunzi walikuwa wanapita nae sana maana hata yeye alikuwa anatongoza.

Kila ndoa ina matatizo yake kuwa makini sana mkuu. Ila kiuhalisia wanawake wengi wenye ajira tofauti na ualimu na uuguzi hawajui wajibu wao katika ndoa. Kwao ndoa ni vita ya usawa.
 
Inategemea na wewe una taaluma gani na level gani ya elimu, siyo uwe tatu bila halafu ukubaliwe na mwanamke mwenye degree.
 
Ni mkeo tu ondoa hiyo dhana potofu ndugu, mimi nimesoma mpaka degree ya pili ,naongia jikoni nampikia na kumtii ,i mume wangu Mambo yote km mke nafanya,shida ya ninyi mnazidisha ,mnataka mke yaani sijui afanyaje
Hapo kuzidisha ndo penyewe ndo kibri kinapo anzia unapima je kwamba hapa ni ya ziada? hayo masuala ya kupika na kutenga kwenye hotpot na kuondaka wataka nani aninaushe mikono? unataka nani aniogereshe wakati wa kula unataka nani anisogezee maji ya kunywa, unataka nani atowe vyiombo nikimaliza kula nk, ndoa ni utiii na unyenyekevu kwa mme sio kutoa huduma tu nakuondoka.
 
Mzee wangu Katika maisha yake alijitahidi kuoa nā kuishi nā wake 9,kabla hajatangulia mbele ya hali alinambia mwanangu wanawake woooote duniani wanafanana hata uoe wanawake 50 ni walewale.
Jitahidi utafute mke aliyelelewa nā mama nā Baba yake nā siyo single parent
 
Ngoja niufunge uzi kwa kusema km ni mwajiriwa na degree yake hakikisha uko smart kwny mipango lazima check no ataiumiza tu akisha baki na ⅓ kwny salary yake atatuliza genye tu .

NB.mwanamke mwenye pesa ➕️ elimu ➕️ uzuri kumdhititi kwake ni mpk uwe parasite kwny njia za kipato chake
 

% ya wanawake fedha zao ni zao wala hwaatumii kwenye kujenga nyumba ya familia ,kuhudumia familia au kussport chochote kwenye familia zaidi ya kununua nguo zao ,viatu ,lotion ,mawigi etc ,ukiona anatumia kwenye ujenzi basi anajenga nyumba yake mwenyewe ambayo mumewe haimuhusu.
 
Pasi nashaka wewe ni mhanga kama Mimi...
Wakwangu anakazi akanunua Gari lake wakati Mimi napambana na ujenzi.
Siku iso eleweka sikuliona lile Gari nilivyo muuliza akanijibu Gari lako au Langu
Pia umenioa Mimi ama Mshahara wangu.
 
Pasi nashaka wewe ni mhanga kama Mimi...
Wakwangu anakazi akanunua Gari lake wakati Mimi napambana na ujenzi.
Siku iso eleweka sikuliona lile Gari nilivyo muuliza akanijibu Gari lako au Langu
Pia umenioa Mimi ama Mshahara wangu.
Wewe umeolewa sio kwamba wewe ndo umeoa mke anakuaje na gari wewe akawa huna, kwangu ni mawili gari langu au ndoa ndo basi, sometime in marriage dictatorship unaleta Amani.
 
We Acha kufikiria kupitia Kalio... Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na mwanamke regardless Hana au anacho.Kwenda kinyume ni hatari Sana Kwa mwanamke huyo.Na nimaandiko.Au kwakuwa umempata low level mindset basi unaona umemaliza shida
 
Mwanao wa kike usimsomeshe uandalie mtu mke ambae hajaenda shule and submissive
 
Wewe umeolewa sio kwamba wewe ndo umeoa mke anakuaje na gari wewe akawa huna, kwangu ni mawili gari langu au ndoa ndo basi, sometime in marriage dictatorship unaleta Amani.
Usemacho ni kweli lakini Katikati ya mipango yetu Mimi nipambane na Nyumba basi.Na pia Mimi mwenyewe Nina Gari yangu.Lakini kweli swala la kuuza Gari bila kunishirikisha huwa niswala linalo nitafuna Sana.Na pia Ile Gari niliagiza Mimi Kwa Account zangu na pia pesa hakutoa zote Japo Asilimia kubwa ilitoka kwake baada ya kupata mkopo kazini kwake.
 
Mwanao wa kike usimsomeshe uandalie mtu mke ambae hajaenda shule and submissive
Kwani mimi nacho penda ndo wengine ndo wanacho penda pia siwezi kujua kama atakae muoa atampeda hivo au laa.
 
Hiyo nyumba unamjengea yeye for security purpose incase umemtangulia mbele ya haki, mke auze gari lake nisijue ni sipangie pesa matumizi haiwezekani, ni dharao hiyo, huenda kuna mgine anampangia na kumpa kiburi.
 
Pole sana mkuu.

Ahsante pia kwa muongozo
 
Una akili sana, nashindwa tu kuelewa kwann hutaki kuoa mpaka sasa ili uzitumie hiz akil zako mdogo angu.
YOu are very brave nyuma ya keyboard 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…