Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Wanawake nafasi zao zipo chini ya magoti ya mwanaume tatizo tunakosea kuwapandisha juu
 
Ni mkeo tu ondoa hiyo dhana potofu ndugu, mimi nimesoma mpaka degree ya pili ,naongia jikoni nampikia na kumtii ,i mume wangu Mambo yote km mke nafanya,shida ya ninyi mnazidisha ,mnataka mke yaani sijui afanyaje
Hawanaga shukrani hata umfanyie nini, utakuta mkeke anamnyenyekea lakini fadhila anapeleka Kwa ndugu zake nakumuona mke hana maana
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Kwani na yeye si anakuwa katoka kazini na amechoka?
 
Ikiwa ukioa mwanamke msomi hakupi heshima wala utii kutokana na kuwa na jukumu la kiutafutaji me kwangu hiyo sio issue hao me nawamudu vyema tu na heshima wananipa, Lakini mke golikipa mimi sitaki.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

KATAA NDOA 3-0 MABROO LIALIA "I LUV MY WIFE"

Huyo mwanamke anakuletea nyodo na bado badget na bills zote haweki hata mia mbovu,,,,bladifwaken!!!Akileta nyodo hvyo mpe majukumu ya bills 50/50, kama hataki bora urudi chamani KATAA NDOA!!!

Wanawake wapo kibao na supply iko ya kutosha ni kujichagulia tu, hii nguvu mnayopoteza kwa kushindana na hao wanawake zenu mkiiweka kufanya maendeleo mtafika mbali sana.

Na bado mtalia sana ndoa imepigiwa sana propaganda kumbe ni ubatili mtupu.

#Kataa ndoa kulinda afya yako ya akili na moyo!!!!
 
Yeye ana masters ya Canada, wewe una degree ya vyuo vya kata vya Tanzania, kakuzidi ndomaana kakuacha.
Umekurupuka soma uelewe vzr ila uzuri kuna mdau ndiyo nilikuwa namuelezea hiko kisa na amenielewa mpk kufika tamati ila ww ulichojibu sijui umetoa wapi.
 
Kwa observation yangu ndogo

Kuna watu wanapata wake bora kwa ajili yao ila si mama bora haswa kwenye kuwaongoza watoto katika njia ya kimafanikio

Na kuna wanaooa mama bora kwa watoto ila ni wake pasua kichwa

Na wachache sana wanaopata mke bora lakini pia ambaye ni mama bora.

Ninachomaanisha, hao wasomi wana exposure na uelewa wa dunia inapoelekea hivyo huwa na chance kubwa zaidi ya kuwaongoza watoto hata kama usipokuwepo. Wengine wa darasa la saba ambao ni submissive, wanaweza kuwasimamia watoto kimaadili zaidi ila kwingine huko itategemea spirit yake ya utafutaji

Ila ukioa darasa la nne C na mama wa nyumbani. Kula raha ya kuonekana mfalme ndani ya nyumba ila omba sana usije kufariki maana familia yako itaishia hapo maana mkeo hatokuwa na option nyingine zaidi ya kuolewa tena ili aishi mjini. Je, vipi kuhusu watoto wako mkuu?...

Hivyo unaweza tafuta msomi mwenye maadili maana wapo wengi tu kama vile ambavyo la pili C wapo wengi tu wamevurugwa.
Hizi scenario na mentality za kukimbia majukumu na kujitabiria vifo ndo zinafanya wanaume leo wanashindwa kuishi maisha marefu kwa kuoa vituko kwa kuogopa kwamba hatma ya watoto wao inaweza isiwe nzuri pale watakapofariki.

Acheni undezi, oeni wanawake mnaowamudu acheni uzwazwa, bibi zenu walikuwa darasa la sabu na wengine darasa la nne ila walilea familia mpaka za watoto 12 pale wanaume wanapofariki.

Kwanini wanaume baadhi mnakuwa soft soft sana kiasi kwamba mnashindwa kuishi vizur mnabaki kuishi kama panya.Yaani unakuta mtu akitoka kazini anaenda baa kupoteza muda au kwenye vijiwe badala ya kwenda nyumbani kisa nyumba haikaliki hawezi kummudu mkewe. Hapo my bro utakufa tu hapo sababu zote za kufa umezitafuta na umezipata hivyo kwanini ujitafutie sababu.

Let nature ikuchagulie ila sio ww kwa uzwazwa wako ijiwekee mazingira ambapo by any means unakuwa na chances kubwa za kufa haraka. If you know you know!!!!

Badilikeni sasa wanaume waoga wa maisha na kupenda mteremko ndo mmeleta hiki kilio cha kutawaliwa na majike yenu.
 
Umekurupuka soma uelewe vzr ila uzuri kuna mdau ndiyo nilikuwa namuelezea hiko kisa na amenielewa mpk kufika tamati ila ww ulichojibu sijui umetoa wapi.
Ishu si kakuzidi elimu? Hapo ndo ulipokwama, mwanamke anatakiwa akuzidi uzuri tu, vingine vyote unatakiwa umzidi.
 
Jibu hoja niliyoieleza
Hoja gani ulozungumza acha kulazimisha kitu kwa kubaka mada nilokuwa namuelezea kanielewa vyema wewe hata sikuelewi unachoongea sahii unanichosha alafu mbishi sasa.
 
Hoja gani ulozungumza acha kulazimisha kitu kwa kubaka mada nilokuwa namuelezea kanielewa vyema wewe hata sikuelewi unachoongea sahii unanichosha alafu mbishi sasa.
Ungekuwa umemzidi elimu asingekuacha kisa kumpa mimba binti mwingine.
 
Hizi scenario na mentality za kukimbia majukumu na kujitabiria vifo ndo zinafanya wanaume leo wanashindwa kuishi maisha marefu kwa kuoa vituko kwa kuogopa kwamba hatma ya watoto wao inaweza isiwe nzuri pale watakapofariki.

Acheni undezi oeni wanawake mnaowamudu acheni uzwazwa bibi zenu walikuwa darasa la sabu na wengine darasa la nne ila walilea familia mpaka za watoto 12 pale wanaume wanapofariki.

Kwanini wanaume baadhi mnakuwa soft soft sana kiasi kwamba mnashindwa kuishi vizur mnabaki kuishi kama panya.Yaani unakuta mtu akitoka kazini anaenda baa kupoteza muda au kwenye vijiwe badala ya kwenda nyumbani kisa nyumba haikaliki hawezi kummudu mkewe. Hapo my bro utakufa tu hapo sababu zote za kufa umezitafuta na umezipata hivyo kwanini ujitafutie sadabu.

Let nature ikuchagulie ila sio ww kwa uzwazwa wako ijiwekee mazingira ambapo by any means unakuwa na chances kubwa za kufa haraka. If you know you know!!!!

Badilikini sasa wanaume waoga wa maisha na kupenda mteremko ndo mmeleta hiki kilio cha kutawaliwa na majike yenu.
Huko vijijini au uswahilini ambapo wanawake wengi hawajasoma je, ndoa zao ni stable , mbona ndo kunaongoza kwa ndoa za futari

Yani kifupi nani kakuambia mwanamke helpless ambaye anabidi akunyenyekeee kwa kukosa uwezo wa kujitafutia maisha ama avumilie mateso yote kwa sababu ya kuhofia akiondoka watoto wataishije.. Ndio wife material, si ajabu wengi wakipata alternatives huwa wanakimbia maana ndoa kwao ni njia ya survival

Kingine dunia walioishi bibi zetu na leo ni sawa?.. Maana si ajabu unaongelea kipindi ambacho msomi anapata kazi directly, jamii inamlea mtoto kiujumla, biashara bado zipo juu maana wajanja wachache, ardhi bwelele yani vitu ilikuwa gusa unase

Ndio ulinganishe na leo mkuu. Dunia ina changamoto nyingi zaidi mkuu, nimeishi sehemu nyingi na nimeona familia kibao zikianguka kwa sababu kichwa cha familia kimeanguka.

Sisemi nitachagua mtu kwa kigezo cha usomi maana kama umenisoma nimeingizia suala la utafutaji. Kwa hiyo uwezo wa mwanamke kusimamia familia hata kwa absence yangu ni moja ya kigezo kikuu.ila vingine pia vipo maana huwezi ingia kwenye mahusiano kwa ajili ya future na ukasahau furaha na amani ya nafsi
 
Back
Top Bottom