Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

utajuaje kama mzee mengi kainvest pesa zake afanye biashara ya fenicha.
huyu dada jacq alikua ni mdangaji pia..ila mdangaji clasic yani unaweza ingia serena unamkuta kakaa na glass ya wine anashusha taratibu..huku kapiga kimin cha hatari..na alivoendaenda shule ndo kabisa hakimshindi kitu.

asinase mimba za wanaume woote aje kunasa ya mzee mengi[emoji14] [emoji38]
hukuona trick ya kunasa mali?
yataka moyo kakangu..kuparamia kifuan na kumkatia mauno mzee kama babu yangu..siwez
Kudanga sio kazi ndogo shoga angu...kwenda kunyonya mbupu za mzee zimenyauka hapana kwa kweli.. sema ukikosa option kwenye maisha unajilipua tu
 
Si shauri mtoto yeyote wa kike kuiga mfano wa Jokate, She is Jack of all trades master of none asiyejielewa.......kwenye uso wa dunia anaonekana ana mafaniko na mwanamke wa kuigwa.......mara deal na wachina ya bilioni sita, siku linatangazwa Jokate hajasajili kampuni yake yaani ndo anaanza kuuliza inakuwa je, yaani wewe wachina wanakuja wanakupa idea unashindwa kukimbia Brela......haya akawa na ndoto za kuwa tutorial/assistant lecturer kazi ikatangazwa badala apply kawaida apambane na wengine anataka atumie umashuhuri wake kuipata mara visits huku mara kule mpaka akafikishwa kwa Mkandala mwishowe akakatwa......mara sandals mara nywele hamna kitu anachoweza kukisimamia kikasimama.......tuishie hapo kwa leo isiwe personal saaaana ila sio kama anavyoji potray
Hahaaaaaaaaaa mkuu
 
hiyo ya ututorial ilikuwa ya mwaka gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
utajuaje kama mzee mengi kainvest pesa zake afanye biashara ya fenicha.
huyu dada jacq alikua ni mdangaji pia..ila mdangaji clasic yani unaweza ingia serena unamkuta kakaa na glass ya wine anashusha taratibu..huku kapiga kimin cha hatari..na alivoendaenda shule ndo kabisa hakimshindi kitu.

asinase mimba za wanaume woote aje kunasa ya mzee mengi[emoji14] [emoji38]
hukuona trick ya kunasa mali?
yataka moyo kakangu..kuparamia kifuan na kumkatia mauno mzee kama babu yangu..siwez
Hahahahaha aggy umenichekesha sana ulivyomaliza hapo..

Yap, ndio maana nikasema yeye doa lake ndio hilo.. Hata kama huko nyuma aliyafanya basi alifanya kwa usiri sana kulinganisha na hawa wengine..

I like Faraja pia, she is kinda clean..
 
hiyo ya ututorial ilikuwa ya mwaka gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu between 2013 na 2014.....Jokate results zake za chuo utazipenda very good outstanding na hajazipata kwa ngono....ila kazipata kwa kufanyiwa assignments na test......Jokate amecheza delay tactic sana kwa wanaume aliokuwa anasoma nao........ndo maana nasema kwa wanaomjua sio mwanamke wa kupambana ni mtu wakutake advantage kila kitu anachokiona anataka kufanya siunajua alishawahi kuwa mwanamziki, MC n.k..........naogopa kufunguka sana atanijua bana
 
She is on of the privelaged

Jokate sio wa leo ama kesho kwenye kujikwamiua........atakuja kupata uwaziri in the future ndo watu watamwelewa

Mkuu between 2013 na 2014.....Jokate results zake za chuo utazipenda very good outstanding na hajazipata kwa ngono....ila kazipata kwa kufanyiwa assignments na test......Jokate amecheza delay tactic sana kwa wanaume aliokuwa anasoma nao........ndo maana nasema kwa wanaomjua sio mwanamke wa kupambana ni mtu wakutake advantage kila kitu anachokiona anataka kufanya siunajua alishawahi kuwa mwanamziki, MC n.k..........naogopa kufunguka sana atanijua bana
funguka mkuu....ndo maana ya kuwa great thinker
 
Habari zenu jukwaa la celebrity. Tujuzane bila upendeleo ni binti au demu gani hapa Tanzania amefanikiwa pakubwa kwa kazi zake kuinuka kimaisha yeye binafsi au hata kuwainua ndugu zake. Kipato chake kisiwe na walakini wala tetesi za makandokando. Aweza kuwa kwenye Muziki, bongo muvi, mitindo nk. Mafanikio ni pamoja na nyumba nzuri, magari, biashara kubwa halali, na nyingine zitokanazo na kipaji chake. Huyu atakuwa role model wa wasichana wenye ndoto nao wamwige. Karibu tutiririke.
Shirawadu
 
Back
Top Bottom