xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeCorolla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeCorolla
Aliupatia wapi huo uceleb? Una uhakika unaweza kwenda kwenye kundi la watu 100 wa kawaida wakawa wanamjua huyo binti?
Kudanga ni ile tabia ya mwanamke kujiuza kwa wanaume apate PESA. Zipo njia nyingi na za kijanja ya kujiuza pia.mniwie radhi naishi Shinyanga karibu na Kolomije, kudanga ni msamiati mpya mjini? Kwa unyenyekevu mkubwa naomba maana yake
Kwa heshima Naomba kukiliona Wezere lako [emoji102]Tuyatambue kwanza hayo mafanikio halafu ndo tuje kama yana kashfa au la.. labda kama kumiliki wezere ndo mafanikio basi na mie nimefanikiwa
Basi ni mwanamke wa shokaAnayo hila haitumii kufanya miamala
Wee...mnaija si atamkimbia sasa?Lady jaydee alifanikiwa enzi flani alipokuwa na mghahawa.. Ila nae alitaka kujionesha anaweza kudanga akapata mzungu masaki biashara yake ikafa.. Sikuhizi karudi nyumba yake ya kimara tena anatumia gari aina ya toyota ipsum toka range rover hadi ipsum.
Haka kademu kana pesa chafuuFalaviana matata
Flaviana Matata na Happiness Magese japo wapo mbele...cheka uongeze siku mkuu...mi mpaka sasa bado nawaza mdada maarufu aliesimama peke ake bila nguvu ya mwanaume au papuchi
sijampata..
nikimpata na mafanikio yake ndo atakua role model wangu kuanzia leo
Funguka mkuu kidogo buanaaa[emoji122] [emoji122]Mkuu between 2013 na 2014.....Jokate results zake za chuo utazipenda very good outstanding na hajazipata kwa ngono....ila kazipata kwa kufanyiwa assignments na test......Jokate amecheza delay tactic sana kwa wanaume aliokuwa anasoma nao........ndo maana nasema kwa wanaomjua sio mwanamke wa kupambana ni mtu wakutake advantage kila kitu anachokiona anataka kufanya siunajua alishawahi kuwa mwanamziki, MC n.k..........naogopa kufunguka sana atanijua bana
She's bright since she was at loyolitesMkuu between 2013 na 2014.....Jokate results zake za chuo utazipenda very good outstanding na hajazipata kwa ngono....ila kazipata kwa kufanyiwa assignments na test......Jokate amecheza delay tactic sana kwa wanaume aliokuwa anasoma nao........ndo maana nasema kwa wanaomjua sio mwanamke wa kupambana ni mtu wakutake advantage kila kitu anachokiona anataka kufanya siunajua alishawahi kuwa mwanamziki, MC n.k..........naogopa kufunguka sana atanijua bana
Jacqueline Mengi?? Au una maanisha mzee Mengi... Huyo c mcimba dhabu tu....Jokate, Jacqueline mengi, na Dorice mollel anakujakuja
Ndiyo huyohuyo,au humtaki kwa kuwa ni mke wa mtu? Dada mchakarikaji sana huyu. Hakai kibarazani kusafisha kucha na kubweteka na utajiri wa mimewe.Jack Mengi??
Jokate, Jacqueline mengi, na Dorice mollel anakujakuja