Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

Ukiwa na njaa huwezi kuchagua chakula,issue ya kuchagua vyakula inakuja pale vyakula ni vingi na unakua na option,kama ni sehemu yenye njaa huo ujasiri wakuchagua vyakula unautoa wapi?
Mkuu kwani huwa ukifika mgahawani/hotelini huwa unakaa na kusema 'nileeteeni chochote'..? Kama huwa unaagiza chakula fulani, huo ujasiri huwa unautoa wapi?

Swala la njaa liko wazi kabisa, mtu yeyote akiwa na njaa na hana uwezo wa kupata chakula, atakula chochote kitakachopatikana.
 
Migebuka...overrated
Cake overrated...especialy hiz za wapishi wa kibongo...misukari kibaoooo
Mtindi overrated
Juice ya miwa overrated

Naungna na wewe ila hapo kwenye juisi ya miwa nakupinga, sema mazingira ya utengenezwaji wake humu mitaani ni machafu sana aisee. Yanatia kinyaa.
 
Mkuu kwani huwa ukifika mgahawani/hotelini huwa unakaa na kusema 'nileeteeni chochote'..? Kama huwa unaagiza chakula fulani, huo ujasiri huwa unautoa wapi?

Swala la njaa liko wazi kabisa, mtu yeyote akiwa na njaa na hana uwezo wa kupata chakula, atakula chochote kitakachopatikana.
Jibu lipo kwenye hiyo paragraph yako ya pili hapo.
 
Supu ya pweza overated
[emoji16][emoji16][emoji16]
Uzi unakoelekea
 
Mabucha kushindwa kuuza makongoro yalitengenezwa yawe tayari kupikwa kama wanavyouza nyama.
 
Biliani,yani naonaga kama uchafu Fulani hivi.
Uchafu.........ila bei yake ujipange [emoji12]
Snapchat-1514650091.jpg
IMG-20210501-WA0029.jpg
 
Usifananishe Fenesi (Jack Fruit) na Vitu vya Kijinga mzee, Mi nkienda Kijijini huwa nachukua Panga na kushuka mwenyewe shambani kuvuna ilo Tunda kule kwetu yamejaa mpaka yanaivia shambani hata ndizi kwetu zinaivia shambani ukipita unasikia tu halufu basi unazisaka kama uko peke yako unakula tani yako unakuta ni bibi au babu wamevundika ukila za kukutosha unafunikia unasepa hata liwe shamba la mtu hakuna uchoyo kabisa so long as its not for commercial purpose we kula uwezavyo,

Apple ni Overated sijawahi kulielewa hili Tunda aisee
Biliani iko overrated pia

Ila Makande ni underated tena ukute kande imeungwa na Nazi balaa sana halafu izo kande zilale ziwe kiporo asubuhi aisee ni hatari sana unakula mpaka utapitiliza limit
Pamoja na Maisha kubadilika sana ila kuna Vitu siwezi kuviacha kabisa
 
@
images%20(3).jpg
 
Back
Top Bottom