Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

Safari ndogo ya Moto iko very underrated
 
Ndio maana mavitambi yanaongezeka siku hizi.

Wakaka mavitambi, wadada mavitambi kila mtu mavitambi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatuvilipii kodi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Dagaa zipo underated sana.
Imagine kilo ya nyama ni buku 7
Kilo ya dagaa elfu 12.
Cha ajabu ukila dagaa unaonekana masikini.
Hizo ni takwimu za maeneo ya mijini.
 
Dagaa wapi unanunua kg 12?
Mara ya mwisho mwaka 2018 nimeondoka DAR, DOM, ARUSHA kilo moja dagaa wa MWANZA walikuwa wanauzwa around 12k hadi 15k kwa kilo moja tena hapo ni wale wakavu sio wale ambao wameshakaangwa.
Muda huu najua soko eneo hilo lipo vizuri bei imechangamka kidogo.
Vipi unataka kuingia huko.
Njoo inbox
 
Safari ndogo ya Moto iko very underrated
Hivi tofauti ya safari kubwa na ndogo zinatofati gani? Maana kuna bro mmoja tangu nimfahamu sijawahi kumwona anakunywa safari kubwa, kuna siku walimpa safari kubwa akakataa.
 
Dagaa zipo underated sana.
Imagine kilo ya nyama ni buku 7
Kilo ya dagaa elfu 12.
Cha ajabu ukila dagaa unaonekana masikini.
Hizo ni takwimu za maeneo ya mijini.
Tofauti ni kuwa nyama kilo unakula siku moja, dagaa kilo utakula siku moja?

Ila kwenye utamu, ukiachana na mbuzi choma na kitimoto, dagaa lililoungwa vizuri linazikimbiza nyama nyingi sana. Nyama kama ya ng'ombe haitoboi mbele ya dagaa.
 
Ma apple ni matakataka kabisa hayana uspecial wowote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatuvilipii kodi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Inabidi muanze kuvilipia ushuru aisee, unakuta mdada ana kitambi ambacho anaweza kufutia hata kioo cha smart tv inch 23. Booonge la dude😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom