Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Itakua ni walajiNani anaye rate at first place?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ni walajiNani anaye rate at first place?
8yrs mishe zangu ni lake zone,ila nilivyokua nasikia story za utamu wa hawa samaki(nikiwa Dsm,home) naona tofauti na uhalisia,kwa minofu kweli wamejaza ila kwa taste binafsi hapana[emoji85][emoji1787]
Embe ng'ong'o sijawahi kulielewa. Ladha yake inafanana na jina lake. 😂😂😂Urojo, overrated,
Wali kisamvu+utumbo, underrated,
Parachichi, overrated,
Embe Ng'ong'o, underrated.
Comments kama hivi ndo huwa zinasababisha mfumuko wa bei. Ukitaja mamno ya mabao mabao watu wanatengeneza fursa chap...😂Sheikh umezoea masamaki yalioungwa ma kutiwa udambu udambu mwingi. Sangara , sato, hongwe, mbofu, mbete, ngere, furu acha kabisaaa wachemshwe iwekwe limao na chumvi tuuu wale samaki wana mafuta yake. Kula na ugali wa mahindi mixa wa muhogo. Aseee ukikojoa bao hadi unaisikiamo na anaekojolewa ilo bao atakwambia mbona leo za moto ivooo
We huonagi mkuu? Mara wayamwagie maji kidizaidi flani...yaani ilimradi tu kuyapa kiki. Sijawaji kuona matunda yanayopenda attention kama ma'apple. Ushua mwingi, ladha ya kawaida tu.😂🤣🤣 Apple 🍎🍏 eti yanaishi kistaa
Ukiwa unagonga hii kitu unasahau hata kuwa deni la taifa limepanda hadi kufikia Tsh trillion 71. Yaani kiufupi hukumbuki shida yoyote kabisa.😀
Naukazia zaidi hapo kwenye toperope.Peazi, staferi na topetope - underrated
Maoni yangu 😂😂Underated
Ugali dagaa
Chai viazi vitamu
Chai mihogo
Overated
Chipsi mayai
Wali kuku
Wali maharage ni habar nyingine kabisaNikija kumjua aliyegundua hii combination nitamjengea kasanamu kadogodogo kuenzi mchango wake.
Hii kitu inakaa popote kuanzia; breakfast, lunch, supper, dinner.....
Mkuu upo kama mimi, sikuwahi kula before ila lilivokua linasifiwa nikaona yes utakua msosi mzuri sana aah nilivokula sijalipenda hata na yale ma food colors ndiyo kabisa nahisi nakula chemicals tu.Biliani,yani naonaga kama uchafu Fulani hivi.
Ila mwanamme mwenye kitambi unamuelewa!?Binafsi mwanamke mwenye kitambi simwelewi kabisa asee...
Sema fenesi Sio dudeHili dude hili, aloooo.
Walikuwa wameweka kwenye vibebeo vya plastic, nilikula kama vinyama viwili tu, yakanishinda.
Mwanaume kuwa na kitambi siyo issue. Binafsi sipendi kitambi na nitapambana nisiwe nacho.Ila mwanamme mwenye kitambi unamuelewa!?
Kuleni tu aisee, mimi yamenishinda..Sema fenesi Sio dude View attachment 1819552View attachment 1819553
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu upo kama mimi, sikuwahi kula before ila lilivokua linasifiwa nikaona yes utakua msosi mzuri sana aah nilivokula sijalipenda hata na yale ma food colors ndiyo kabisa nahisi nakula chemicals tu.
Unapiga mule mule yaaan, [emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada ulikula pizza gani, au vile vidude wazenji wa forodhani waita pizza?
Githeri/Makande ni namna ya upishi tu na aina ya makande yenyewe (kuna ya mahindi mabichi, makavu na makavu yaliyokobolewa)...
Kwa sisi wapenda misosi, huwa hakuna msosi over or underrated labda uwe umechacha...
Ukitaka uenjoy wali ndondo basi kuna ule wali ndondo uliolala kwenye jokofu, au ulilala kwenye chungu halafu ile morning unaugonga na chai ya maziwa...
Kula mboga za majani zozote zile sijui mchunga, majani ya kunde, majani ya maharage, sukuma, kabichi (ukitaka uinjoi imiksiwe na nyama), kisamvu (hili dude kula kiporo chake na wali nazi)...
Nafasi hata haitoshi hapa...