Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kwani huwa ukifika mgahawani/hotelini huwa unakaa na kusema 'nileeteeni chochote'..? Kama huwa unaagiza chakula fulani, huo ujasiri huwa unautoa wapi?Ukiwa na njaa huwezi kuchagua chakula,issue ya kuchagua vyakula inakuja pale vyakula ni vingi na unakua na option,kama ni sehemu yenye njaa huo ujasiri wakuchagua vyakula unautoa wapi?
Hii kitu sijawahi kula, na ilipoanza kuhusushwa na mambo ya kwa mpalange ndo basi nikaikatia tamaa kuitest. Ila ngoja nitajaribu ili nione nairate vipi...Biliani,yani naonaga kama uchafu Fulani hivi.
Migebuka...overrated
Cake overrated...especialy hiz za wapishi wa kibongo...misukari kibaoooo
Mtindi overrated
Juice ya miwa overrated
Jibu lipo kwenye hiyo paragraph yako ya pili hapo.Mkuu kwani huwa ukifika mgahawani/hotelini huwa unakaa na kusema 'nileeteeni chochote'..? Kama huwa unaagiza chakula fulani, huo ujasiri huwa unautoa wapi?
Swala la njaa liko wazi kabisa, mtu yeyote akiwa na njaa na hana uwezo wa kupata chakula, atakula chochote kitakachopatikana.
Sikumbuki hata aina, mi nilitajiwa menyu nikajilipua.Pizza zipo aina nyingi ulikula ipi
Inategemea na eneo mkuu, nilikokulia mimi haya matunda hayapo kabisa.NO...alafu tangu mtoto uwe ujawai kula fenesi acha ujinga
Kitimoto inapewa heshima inayostahili kabisa. Kwenye bia sina cha kusema maana sio mtumiaji.Naomba mtu asiguse kitimoto na beer tutakosana
Ulikuwa mgahawa gani pia kuna piza fake kama Eggchop tatizo uwenda ukawa weweSikumbuki hata aina, mi nilitajiwa menyu nikajilipua.
Nunua fenesi zima ukate mwenyewe then uleInategemea na eneo mkuu, nilikokulia mimi haya matunda hayapo kabisa.
HahahahaUlikuwa mgahawa gani pia kuna piza fake kama Eggchop tatizo uwenda ukawa wewe
Nunua fenesi zima ukate mwenyewe then ule
Uchafu.........ila bei yake ujipange [emoji12]Biliani,yani naonaga kama uchafu Fulani hivi.
Naungana na wewe kwa asilimia 100.Dagaa, kande zipo underrated na juice ya passion ipo overrated
@Usifananishe Fenesi (Jack Fruit) na Vitu vya Kijinga mzee, Mi nkienda Kijijini huwa nachukua Panga na kushuka mwenyewe shambani kuvuna ilo Tunda kule kwetu yamejaa mpaka yanaivia shambani hata ndizi kwetu zinaivia shambani ukipita unasikia tu halufu basi unazisaka kama uko peke yako unakula tani yako unakuta ni bibi au babu wamevundika ukila za kukutosha unafunikia unasepa hata liwe shamba la mtu hakuna uchoyo kabisa so long as its not for commercial purpose we kula uwezavyo,
Apple ni Overated sijawahi kulielewa hili Tunda aisee
Biliani iko overrated pia
Ila Makande ni underated tena ukute kande imeungwa na Nazi balaa sana halafu izo kande zilale ziwe kiporo asubuhi aisee ni hatari sana unakula mpaka utapitiliza limit
Pamoja na Maisha kubadilika sana ila kuna Vitu siwezi kuviacha kabisa
Takataka za kuku wa KFC. Bora hata nile mihogo na chachandu kuliko hayo madudu yaliyozidishwa chumvi.