Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Pole chiefMke wangu kushindia mua tu tena akiwa mjamzito. Mungu atusaidie kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole chiefMke wangu kushindia mua tu tena akiwa mjamzito. Mungu atusaidie kwa kweli.
Sitaki kuamini Humble African mzee wa forex alifulia kiasi hiki mi najua utakuwa mtu mzito sana bongo hii.Kuna muda niko Dar mwaka 2016-17.
Baada ya kufukuzwa kazi serikalini kipindi cha Magufuli na kufilisika na kukosa pa kushika, Nilibakiwa na suruali moja ikachanika bahati mbaya kwa msumari wa kwenye benchi nikashona kiraka kabisaa kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu.
Nilishatembea hadi Tandale ndani ndani kwa Mama mmoja hivi kwenda kula msosi wa buku na nilikula jioni hiyo tu hadi kesho tena jioni. Kodi ya nyumba iliisha nikaishia kulala chumba cha mlinzi.
Bahati nzuri baada ya mwaka nikalipwa pesa yangu kutoka PSSSF zaidi ya milion 8.
Siku hiyo niliheshimu pesa na kutoutamani tena umaskini. Nilifanya biashara zangu kwa bidding na maarifa. Thanks God sasa hivi nakula ninachokitaka na sio ninachokipata.
Money is sweet [emoji41]
Mkuu hii post nimecheka,siyo Kwa kufurahi hapana, ila najaribu kuimagine, tukio ambalo lilitokea, Kuna mdada alizimia msibani, wakadhani homa. Mmoja akasema tumpikie uji kwanza ndipo tumpeleke hospitali, wakapika uji, alivyokunywa uji jasho lilitoka sana tena sana, ugonjwa uliisha, kumbe alikuwa na siku kadhaa hajanywa hata majiMaisha ni safari ndefu sana nikikumbuka ya nyuma namwambia tu Mungu Asante umejua kunifurahisha[emoji120]nishawahi kuzimia na njaa mara mbili
Ukiwa na njaa ni sumu kunywa maji, unakufa ukinywa maji nakwambia. Utumbo utajinyonga haraka sanaNilipauka nkapauka kweli. Kulikuwa na maduka 2 ambayo nilikuwa mteja pendwa (very important uwe na maduka ambayo wewe ni customer wa kila siku), sasa nikaanza kukopa bwana. Nmekopa nkakopa tena ikafika kipindi mangi akaniambia, mjuba, sasa hivi unakopa mtaji, em nenda katafte kwanza uje upunguze madeni.
Nkakosa pa kwenda.
Sitasahau siku nmelala njaa. Imefika saa nane usingizi ukapaa na njaa takatifu, nikaenda bombani nkafungua maji nkanywa. Maji ya Dom yana chumvi wazee, ile chumvi ndo ikazidisha njaa kabisa.
Sikulala kabisa. Asubuh nmeamka hata nguvu ya kutembea sina. Msela wangu mmoja sijui alijuaje, akanipigia simu akanipa hi af akanitumia li twente ndo nkasogeza maisha.
This life be humble aisee.
Dah me ndo kila ck maana napenda vitu vizur, nipo radh kutoa hela yote ndan na nisijue yq kesho kwa ajil ya kitu tu sas sikiliziq mbele hapo kama co mim wa jana kuwa na malakiIli kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.
Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.
Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.
Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.
Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
Nikweli kaka, Mungu ni mwema wakati wotePole sana mkuu,kila nikitaka kuandika yangu nakutana na yale konki mpaka nimeona wacha tu nisimkufuru Mungu,muhimu ni kumshukuru yeye kwa kile kidogo unachokipata,maana kuna watu wanapitia maisha magumu sana hapa duniani hivyo si vibaya unapopata ziada kujitahidi hata kusaidia na wengine ambao hali zao ni mbaya...
Mkuu watu wameshindia maji pekee,mtu akiwa na njaa anapiga maji njaa inapoa msishs yanasonga.Ukiwa na njaa ni sumu kunywa maji, unakufa ukinywa maji nakwambia. Utumbo utajinyonga haraka sana
Wasukuma wanakula sana hivyo.Kwa waliozoea hiki ni chakula kitamu sana hiki ila ukiwa hujazoea ni shiida.
Ahadi ya Mungu ni kula mpaka kusaza ila umasikini unatufanya hata makombo ya wadudu tuyaonee uchungu, ila bajeti muhimu.Katika vitu ambavyo naweza ua mtu, ni kuchezea chakula. Huwa sikubali familia ichezee chakula. Haya maisha ni chakula hakuna kingine.
Nilishawahi kubambikiziwa kesi aisee ila cha ajabu sikuwa na mazoea kabisa na huyo mtoto, nilikuwa teenager tunakwenda kucheza mpira uwanjani karibu na kwao. Nakuja kustuka mama kambeba mtoto na mwanawe mwingine wa kiume wanakuja kubisha hodi home kusena kuwa nimemtia vidole mtoto wake?!!! Aisee nilishangaa sana sasa sijui alijua akija vile atapata chochote kitu kutoka kwetu.? Aisee tulimtimua mbaya sana yule bi mdashi.Watoto hutakiwi kuwazoea kama si watoto wako, ila wa ndugu, majirani waogope kama ukoma.
Kwa ufupi wafukuze wakuogope
Ugali na mafuta ya ng'ombe wapi kwa wapi mzee baba ,sema unakula tu kama hakuna mboga.Ugali na samli ni mtamu sana,yaani ukiniwekea pilau na ugali na samli nachagua ugali na samli ni chakula kizuri sana kwangu kuwahi kukijua
Hii iko maeneo gani kiongozi?Changamoto ni kubwa. Kuna nyumba inauzwa bei ya IST used na uwanja ni mkubwa ila kipengele noti[emoji1787]
so sad champHata mimi naamini hivyo. Hii dunia haikuwa mahala pake.
Yule jamaa alikuwa na roho ya kipekee. Hakusubiri kuombwa.
Hii story yangu ni cha mtoto, baada ya mauti yake waliibuka wengi mno. Kuna aliowapa hifadhi ya makazi, aliowapa mitaji na hata aliolipia ada za watoto wao.
Kuna binadamu Mungu aliwaumba waje kuwa mfano wa wema tu kwa binadamu halafu waondoke.
Ili kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.
Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.
Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.
Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.
Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
Heeee nyie mmetokea wapi mbona wanajf hatupo hivo