Ni chuma ulete ama?

Mtapata akili tu,Kuna watu tumesoma mpaka masters ila biashara zetu kwenye droo Kuna ndulele, chumvi ya mawe, mfupa wa kitimoto

Endekezeni usomi tu......
😁😁😁
Hatari sana
 
Ukute kuna mtu anacheza bao na kutafuna kashata akishushia na ghahawa siku nzima, kashapelekewa hizo 150k
 
Na wewe unaamini hii story ya kitoto kabisa? Story zote za uchawi huwa ni hearsay "kuna mtu blah blah blah" ukiulizwa uliona huna jibu. Mnaaamini tu kama nyumbu. Itakua mlimuamini hata zamaradi aliyesema kaenda mbinguni nyie.

CC: Sir Midabwada
 
Nyie watu wa uchawi wajinga sana mkiambiwa mthibitishe mnakimbia... endeleeni kuwa wajinga hivyohivyo
 
Na wewe unaamini hii story ya kitoto kabisa? Story zote za uchawi huwa ni hearsay "kuna mtu blah blah blah" ukiulizwa uliona huna jibu. Mnaaamini tu kama nyumbu. Itakua mlimuamini hata zamaradi aliyesema kaenda mbinguni nyie.

CC: Sir Midabwada
Mimi mdogo wangu aliondoka shule mzima na kurudi bubu
 
Pole mkuu...usiwe vuguvugu watakumaliza wazee wa mila nadesturi...MUNGU kabisa au tunguri kabisa tofaut na hapo ur done!
 
Mimi mdogo wangu aliondoka shule mzima na kurudi bubu

Hiyo ni medical condition. Watu wanapoteza vision, hearing hata kupata ububu na changamoto zingine. Hilo hata waganga matapeli watakushangaa kusema huo ni uchawi.
 
Sasa chuma ulete ipo wapi? Watu wamekukatalia huo ujinga toka mwanzo wa uzi, na wewe mwenyewe umethibitisha kwamba yalikuwa mawazo ya kijinga kwa kuipata hela yako, alaf hapo hapo unakomaa chuma ulete ipo.

Hakika kupambana na ujinga ni kazi ngumu sana!
 
Mkuu pole sana
 
Sasa chuma ulete ipo wapi? Watu wamekukatalia huo ujinga toka mwanzo wa uzi, na wewe mwenyewe umethibitisha kwamba yalikuwa mawazo ya kijinga kwa kuipata hela yako, alaf hapo hapo unakomaa chuma ulete ipo.
Unachokiamini kichukue vingine viache mkuu sio kwajili yako, ila asante
 
Hiyo ni medical condition. Watu wanapoteza vision, hearing hata kupata ububu na changamoto zingine. Hilo hata waganga matapeli watakushangaa kusema huo ni uchawi.
Kapona na ndumba mkuu tumeroga sana. alikutana napepo likampiga na usinga kichwani. uchawi upo ila mpaka ukutane nao ndo utajua na kuamini
 
Wewe jamaa sio mtu makini

Mtaji mdg tu huo unasahau 150 kumpa wakala mkuu?

Pili chuma ulete inaweza kuwepo ila binafsi nna miaka 4 sasa kweye hii industry sijapoteza fedha kwanjia ya kutatanisha.

Hakikisha unafunga hesabu kila siku ili uweze kuobserve gap na kulifatlia mapema kuptia miamala

Possibility ya kupotez fedha n

1.kutuma kwa kuzdsha kias

.2.kukosea kuhesabu fedha ukamzdshia mteja

3.utapeli,kuchanganyiwa noti

Kuwa makin dogo,kamishen zenye ndio hiz mtu anatoa 100,000 wanakulipa 450 na bado hawajakata kodi
 
Kwani ukizidisha chenji unajua, hujui ndiyo maana unazidisha chenji
 
Nilisisitiza mnoo kuna kasoro umeifanya na ndo mana hukuiyona hiyo hela japo ulikazia kuwa umehakikisha ila nikarudia tena Mambo ya chuma ulete zitabaki kwa watu wenye Uwezo mdogo wa kufikiri, wadokozi watumizi wabovu wa hela,n.k

Hakuna hela hata moja itakayopotea eti kiuchawi narudia tena hakuna hizi imani ukizidisha hutapiga hatua zaidi kuwafaidisha manabii na waganga.

Kama kweli ulihakiki nina uhakika ungeigundua huyo wakala hajakujazia hela na ndo mana nilikusihi mpe mtu mwingine akukagulie na jipe muda utajua shida ni nini.
 
wacha mara moja kuchanganya pesa za wanao weka, na pesa cash ulionayo kajili ya wanaotoa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…