Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa changamoto naona bora ukaearipoti Mahala husika hii itakusaidia kupunguza stressHabari!
Wenzangu mawakala mpoo? Imagine unafunga hesabu alafu unakuta 150000 hakuna[emoji2300] na hakuna muamala ulizidisha kila kitu kilikua perfect kabisa lakini leo nafunga hesabu 150k hakuna.
Nimekagua msg zote zakutuma na kutoa zote zipo sawa lkn 150k haipo[emoji24]
Wenzangu mnawezaje jamani? From 800k tu 650k kweli? Mpaka sasa siamini.
Kwajinsi nilivyo makini. looooh yamenikuta nwenzenu. Cjui nafanya nini[emoji24][emoji24]
Nenda palepale kwenye uzi mwishoni weka update waambie jinsi uivyojichanganya na mahesabu na ukasingizia chuma uleteNifundisheni namna ya kuedit ili niweke mrejesho Kwenye mada hiihii nidifungue mada mpya.
Nakushauri usiende uko ndo utapigwa zaidi..Kwa sangoma siendi, siendii nakuhakikishia. sema ngoja wanijuze tu mbinu 2,3 sisi ni Africans hatuwezi kukataa asili yetu tukubali tukatae, na Mungu aliumba mitu itusaidie. Ila kwa mganga siendi ng'o
kweli mm mwenyewe Wakala ashanizidishia 5000 nikamrudishia siku nyingine uyo uyo nimeenda kutoa 68800 ,nikampa na 1200 ili anipe 70,000 kamili akanipa 80,000 akazidisha elf 10 nzima nikasepa nayo.Kwanini mnapenda kukimbilia kwenye imani za kijinga?
Una uhakika gani kama hujazidishia wateja pesa? Eti mlikuuwa perfect..hakuna efficiency ya 100% hata mashine haifikii huo ufanisi!
Mimi kuna siku nimetoa laki na nusu, yeye akanipa casha 250k, sema nilimrudishia..ningesepa nazo na yeye angesema chuma ulete!
Basi wasomi mnichambe polepole, dadaenu nawapenda[emoji3059]#UPDATE
HELLO!
Asanteni kunitia moyo, asubuhi hii nimepokea simu kutoka wakala mkuu akinijulisha kwamba jumamosi asubuhi nilimpelekea cash ili aniwekee float Kwenye voda na Airtel hivyo aliniwekea ya airtel pekee na ya voda ilifeli kiasi kilichofeli kilikua 150k. Sikukumbuka kukirejea hivyo kanipigia na kunikumbusha leo asubuhi. NIMEIPATA.
Lakini kuhusu chuma ulete ni ukweli ipo, msipuuze.
Na nitaufuata ushauri wenu pia kuhusu chumvi na vitu vingine.
MUNGU AWABARIKI SANA.
Mungu ni mwema#UPDATE
HELLO!
Asanteni kunitia moyo, asubuhi hii nimepokea simu kutoka wakala mkuu akinijulisha kwamba jumamosi asubuhi nilimpelekea cash ili aniwekee float Kwenye voda na Airtel hivyo aliniwekea ya airtel pekee na ya voda ilifeli kiasi kilichofeli kilikua 150k. Sikukumbuka kukirejea hivyo kanipigia na kunikumbusha leo asubuhi. NIMEIPATA.
Lakini kuhusu chuma ulete ni ukweli ipo, msipuuze.
Na nitaufuata ushauri wenu pia kuhusu chumvi na vitu vingine.
MUNGU AWABARIKI SANA.
Kumbe wasukuma nao wanazo hizi mambo!?!nilijua ukanda wa Pwani tuNipo Mwanza, tena mjini kabisaa
...mturutumbi...aiss watu wa Musoma mna mambo!Usifanye masihara.....Kuna mtu ndani ya bahasha ilipotea m na kukuta kinyesi cha popo....ni hesabu ya mauzo ya sheli....uzuri ni kwamba bosi wake naye ni ""mturutumbi""....akatia Madawa ndani ya ile bahasha...Kisha wakaiweka kwenye drooo....siku iliyofuata pesa ikarudi na Mavi ya popo hakuna.....hiii ni dunia.
.
Soon mtahamia in box...na sijui kama kutakalika kwa amani huko!!Kote iwe mjini au vijijini (shamba) unguja au pemba! Sema kama umeamaanisha na hawana gharama.