Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdau mmoja wa Magari alianzisha mada inahusu "Jinsi ya kuwasha gari kwa dharura pale betri ikiwa imegoma",katika maelezo yake akazungumzia kwamba unafunga kamba kwenye tairi then kuna maelezo yakaendelea..baada ya kumaliza sasa
Kama kawaida kuna jamaa akacoment "kwa sisi tunaotumia betri za sim unatusaidiaje?
Sasa jibu alilopewa hapo chini na mdau mmoja anajiita Ochumeraa huwa nikikumbuka mpaka leo nacheka sana[emoji23]
[emoji23][emoji23]da!View attachment 1401129View attachment 1401130
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki kuna watu wan amajibu[emoji134][emoji134]