Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Mdau mmoja wa Magari alianzisha mada inahusu "Jinsi ya kuwasha gari kwa dharura pale betri ikiwa imegoma",katika maelezo yake akazungumzia kwamba unafunga kamba kwenye tairi then kuna maelezo yakaendelea..baada ya kumaliza sasa

Kama kawaida kuna jamaa akacoment "kwa sisi tunaotumia betri za sim unatusaidiaje?

Sasa jibu alilopewa hapo chini na mdau mmoja anajiita Ochumeraa huwa nikikumbuka mpaka leo nacheka sana[emoji23]
[emoji23][emoji23]da!View attachment 1401129View attachment 1401130

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki kuna watu wan amajibu[emoji134][emoji134]
 
Kuna huu uzi wa Zero IQ unaosema "Siku hizi Wanaume ndio wanaolia Msibani".
Kuna comments mbili za Washkaji ziliniacha hoi sana.

1)"Mijanaume inalia mpaka inaangukia kwenye mabega ya warembo,huku imeachia makalio wazi pambafff sana" cc kichomiz

2)"Janaume linalia huku linatafuna kachori.Domo limelegea kama anabwia bwimbwi". Cc Moisemusajiografii
Ahahahaaaaa mkuu zilikuvunja mbavu hizo comments
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna uzi ulianzishwa unasema Mvua ikiwa inanyesha unapenda kufanya nini.?

Jamas mmoja akakomenti kua anapenda kuwa ananyoa ma***zi na kuyatupa dirishani halafu anakua anayaangalia yanavyopelekwa na maji.

Nimeikumbuka nikabaki.kucheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh
Kuna ule uzi wa kula kimasihara, basi kuna jamaa kaopoa jimama wenzie wakaenda kumpigia chabo mama kuvua tu ile chupi inafunika meza kwa ukubwa... Wapiga chabo wakaanza kucheka jamaa akanyimwa mzigo

Uzi huo huo jamaa sijui walienda hotel gani mkoani huko wako wawili mida jioni mwenzake akamwambia twende Bar tukatafute wanawake, jamaa akasema amechoka hawezi kwenda, basi mmoja akatoka akaenda akaja na mwanamke wake, wakati anamtafuna uzalendo ukamshinda huyu aliyesema hawezi toka akajisogeza taratibu na kumnong'oneza jamaa yake amuachie na yeye jamaa kwa sauti akamjibu huku mwanamke akisikia wewe KMMK SI ULIKATAA KWENDA JITOMB... MWENYEWE MBWA WEWE,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa
Hahahaa jus hahahaha

Kuna mwana simkumbk jina alipost uzi wake kuwa kuna manz anamsumbua anatka amuache ila awezi .....
Koment za wadau zaikaanza kushuka ss...mwana wa kwnza akamwbia futa nmba jamaa akasema siwez futa nmb nimeikariri hahahaha akatokea mwendewazimu huko alipotokea akamwambia "KATA KICHWA" hahahaha hii comment siwezi isahahu nikikumbuka nacheka mwnywe tu...nakumbuka nilikuwa nipo nakata gogo toi huku nasoma hii koment nilicheka mpka gogo likatoka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi ulikuwa unasema "hebu tuone kwenye friji lako Kuna nini.."
Screenshot_20200327-210504.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa na matola huwa wana komenti za kibabe sana..
Huyu huyu jamaa kwenye uzi wangu fulani alikomenti kitu. Mama sabrina akamkoti akamwambia "Kua postive Anamtafutia mtu" Jamaa akamjibu "Nikiwa Postive utanisaidia kumeza ARV"View attachment 1401791

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom