Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Oohh sasa umeshanijua enh, hata sielewi dada basi tu mdogo wako naye mambo mengi. Ila nakuahidi sitabadili tena hii ndiyo ya mwisho, maana hata mods nao wameshanichoka.
Id Ya mwanzo ilikuwa ipi mkuu?
 
Kuna siku nilipitia uzi wa fans wa Arsenal nilicheka sana siku hiyo arsenal alicheza na akatangulia kufunga sikumbuki idadi ya magoli ila timu pinzani wakarudisha na kuongeza kuna jamaa baada ya mechi akaandika

"Arsenal hii ni kama gagulo linabana juu chini linaachia"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu una utani na Eli79 enh
 
Yeah kuna watu wengine kila nyuzi, hata zenye mada muhimu wao huandika vituko.
Kuna mtu alikua anaitwa Mikwara Ya Andunje kila comment yake ni vituko vitupu! Anajifanya tajiri anaishi kwenye hekalu.
Seneta wa mtwizi, Msaga Sumu na General galadudu nikiwa bored napitia nyuzi zao nacheka weee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…