Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kweli mkuu, na wewe wakati najiunga JF mwaka jana kuna kipindi ulikuwa active comments zako zilikuwa zinanifurahisha sana. Siku hizi umepotea sana aiseee
My comments

Kipindi hicho enzi zangu kabla sijajitenga na ulimwengu

Zilikua zinanifurahisha sana [emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise hicho kweli ni kiroja
 
Hiyo ilinipita ila nimecheka baada ya kukusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui nianze na ipi maana zipo nyingi.
Ngoja nirudi kwenye screenshots zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…