Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga.
Mimi niko na hasira mingi arifu (wanaita short tempered), ila huyu mwali nilimchana before na kila asubuhi lazima tupange how a day will go. Ila sasa huwa anafanya anavyotka yeye, nikianza kumpa malecture over nini na nini asifanye na afanye kwa namna ipi analeta lomoni (mastori shazi). Mara aniite mgomvi, mkorofi nk.
Sasa ako na chalii angu na siwezi muacha, but sioni future hapa.
Nawaza ni dawa ipi ya kuzibua masikio na akili wakuu, kwa heshima na taadhima naombeni mnisaidie.