Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Unakuta unayo yako mazito zaidi hlf anakuja mtu anakuomba ushauri ambao solution ni simple ila hataki kukubaliana na ukweli.Watu mmechoka kutoa ushauri ๐๐๐๐
Ni kama mtu anakutishia kujiua halafu unamkabidhi kamba ajinyonge