Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujingaa huu hata mimi watu wanasema mimi ni mchoyo na wote wanaosema hivyo nimejaribu kuwatendea wema lakini wanasema bado mimi ni mchoyo .Nikionyesha uchoyo wanasema siunaona huwa tunasema.Mkuu mbona unapiga kwenye mshono , kweli hiyo ndo hofu yangu Kubwa ...
Ila deep down ninaumia mnoo ...
Mama yangu , dada yangu hawataki niiache hii mama ... Wanatumia kigezo cha mimi kuwa mkorofi utotoni eti na sasa hv nimekuwa mkorofi...
Mkuu anzeni kufanya ibada pamoja au kama mlikua hamuendagi anzeni kwendaUna mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga.
Mimi niko na hasira mingi arifu (wanaita short tempered), ila huyu mwali nilimchana before na kila asubuhi lazima tupange how a day will go. Ila sasa huwa anafanya anavyotka yeye, nikianza kumpa malecture over nini na nini asifanye na afanye kwa namna ipi analeta lomoni (mastori shazi). Mara aniite mgomvi, mkorofi nk.
Sasa ako na chalii angu na siwezi muacha, but sioni future hapa.
Nawaza ni dawa ipi ya kuzibua masikio na akili wakuu, kwa heshima na taadhima naombeni mnisaidie.
Hapo uko na mahusiano na mwanamke kiziwi lakini pia ni kipofu hivyo jitahidi kumuonesha upendo na wala usitumie ulemavu wake wa kutoona na kusikia kumnyantasa😎Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga.