Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

Mpeleke kwa Mwamposa
 
Pamoja Mkuu , ila nikiwa mbali na hii mama nakuwa nina amani Sana , Mambo yanasonga Kasi ya foojii , mwili unanawiri na nafsi inasuuzika... Ila ndo nishajitambulisha kwao na ako na mwanangu
Tatizo lako unajali watu watakuonaje watasemaje. Mwisho wa siku mke ni wako na ni wewe utakayeteseka nae na si mtu mwingine.
Kigezo cha kuwa ana mtoto wako hakina mashiko.
 
Mzibue vizuri lile sikio la Chini na akili itamkaa sawa inaonekana unamchekea shauri yako
Mkuu kama ni moto napeleka Sana .. ila ndo hivyo hakuna jipya .. nimetumia mbinu nyingi za kidiplomasia imefail sasa nawish kujaribu Udikteta
 
Mkuu kama ni moto napeleka Sana .. ila ndo hivyo hakuna jipya .. nimetumia mbinu nyingi za kidiplomasia imefail sasa nawish kujaribu Udikteta
Omba usaidizi apigwe mande hilo sikio litazibuka tu wewe anakuona cha mtoto omba usaidizi wa vijana hata wawili au watatu mumkamue kwa pamoja atazibuka mkuu
 
Tatizo lako unajali watu watakuonaje watasemaje. Mwisho wa siku mke ni wako na ni wewe utakayeteseka nae na si mtu mwingine.
Kigezo cha kuwa ana mtoto wako hakina mashiko.
Mkuu mbona unapiga kwenye mshono , kweli hiyo ndo hofu yangu Kubwa ...

Ila deep down ninaumia mnoo ...

Mama yangu , dada yangu hawataki niiache hii mama ... Wanatumia kigezo cha mimi kuwa mkorofi utotoni eti na sasa hv nimekuwa mkorofi...
 
Pamoja Mkuu , ila nikiwa mbali na hii mama nakuwa nina amani Sana , Mambo yanasonga Kasi ya foojii , mwili unanawiri na nafsi inasuuzika... Ila ndo nishajitambulisha kwao na ako na mwanangu
Kwa maelezo yako haya [emoji115][emoji115] ni dhahiri hapo hakuna ndoa muendelezo, unapoteza muda tu ni bora ukajinasua mapema kuliko kujidanganya mwenyewe halafu mbeleni ukajutia. Vinginevyo kufa na tai yako shingoni, mzibie masikio ,mfumbie na macho liwalo na liwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unapiga kwenye mshono , kweli hiyo ndo hofu yangu Kubwa ...

Ila deep down ninaumia mnoo ...

Mama yangu , dada yangu hawataki niiache hii mama ... Wanatumia kigezo cha mimi kuwa mkorofi utotoni eti na sasa hv nimekuwa mkorofi...
Udikteta ili iweje? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata sikuelewi kwanini unalazimisha?
 
Mzibue vizuri lile sikio la Chini na akili itamkaa sawa inaonekana unamchekea shauri yako
Hii mbinu wanaume wengi hawaijui lakini inasaidia sana. Unamkung'uta mwanamke ubour mmoja wa hatari hadi tumbua lake livimbe liumke ova mkando wa mkate dadadadeeeeeq. Asubuhi lazima akuamkie ....shkamoo babaangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri iwezekanavyo,ukiona anazingua unahamia kwingine, au labda jamaa ana shida zake zngne
Inategemea na mtazamo wako kuhusu jambo au asili yako kama umetoka kwenye familia zenye roho za kuachana, ni lazima udumishe roho ya kuoa na kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…