Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
- Thread starter
-
- #41
Hii mbinu wanaume wengi hawaijui lakini inasaidia sana. Unamkung'uta mwanamke ubour mmoja wa hatari hadi tumbua lake livimbe liumke ova mkando wa mkate dadadadeeeeeq. Asubuhi lazima akuamkie ....shkamoo babaangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Got you sis β€οΈ .Kufa hufi ila cha moto utakiona.
Grow up!
Genius!.... Marvelous!.....Fantastic!!....... Excellent!...... intelligent!......na mengine mengine mazuri mazuri yoooote ya kwakoTatizo lako unajali watu watakuonaje watasemaje. Mwisho wa siku mke ni wako na ni wewe utakayeteseka nae na si mtu mwingine.
Kigezo cha kuwa ana mtoto wako hakina mashiko.
Ndio mkuu hio ndio dawa tembeza pumbu za kutosha apige kelele zote hadi majirani waje kuuliza kuna nini wakihisi labda unampiga kumbe kitu kinapelekewa Moto akitoka hapo anatembea migulu pande hatoki ndani wiki nzima anajiuguza Chini yake, hapo lazima akili imkae sawaUnamkung'uta mwanamke ubour mmoja wa hatari hadi tumbua lake livimbe liumke ova mkando wa mkate dadadadeeeeeq. Asubuhi lazima akuamkie ....shkamoo babaangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke unaishi naye wewe sio wao. Grow up brotherMkuu mbona unapiga kwenye mshono , kweli hiyo ndo hofu yangu Kubwa ...
Ila deep down ninaumia mnoo ...
Mama yangu , dada yangu hawataki niiache hii mama ... Wanatumia kigezo cha mimi kuwa mkorofi utotoni eti na sasa hv nimekuwa mkorofi...
Nimekuelewa brother.
Wanaume wengi huwaonea huruma wake zao. Piga pumBbu hadi ikiwezekana unuse harufu ya makuNdio mkuu hio ndio dawa tembeza pumbu za kutosha apige kelele zote hadi majirani waje kuuliza kuna nini wakihisi labda unampiga kumbe kitu kinapelekewa Moto akitoka hapo anatembea migulu pande hatoki ndani wiki nzima anajiuguza Chini yake, hapo lazima akili imkae sawa
Watu wa R hawa hapa geto walikuja na sh tanoUna mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga.
Mimi niko na hasira mingi arifu (wanaita short tempered), ila huyu mwali nilimchana before na kila asubuhi lazima tupange how a day will go. Ila sasa huwa anafanya anavyotka yeye, nikianza kumpa malecture over nini na nini asifanye na afanye kwa namna ipi analeta lomoni (mastori shazi). Mara aniite mgomvi, mkorofi nk.
Sasa ako na chalii angu na siwezi muacha, but sioni future hapa.
Nawaza ni dawa ipi ya kuzibua masikio na akili wakuu, kwa heshima na taadhima naombeni mnisaidie.
Sijakumanya arifu ,Watu wa R hawa hapa geto walikuja na sh tano
Achana na mademu wa RSijakumanya arifu ,
Duniani sio paradiso. Jifunze kuitafuta kwanza furaha yako wewe kabla ya kumfurahisha mwingine. Unawafurahisha mama na dada ili upate nini? Labda wanakusaidia kumlea huyo mkeo??? Kama ndivyo sawa wanyenyekee vinginevyo unapoteza muda wako tu.Nimekuelewa brother.
Tatizo nowadays hamkai na sisi wadogo zenu kutuelekeza abc za Maisha Ya ndoa , Plus utafutaji...
Au ni sisi tumekuwa vichwa panzi, waduanzi tunajifanya much knows Kuzidi ninyi ...
Ahsante brother
Punguza kidogo unice guy anza kumtreat rudely mixer drama za hapa na pale, tafuta mchepuko mwanamke ni kama chama tawala bila upinzani anajisahau.. wanawake wanasema wanapenda mwanaume mpole, anaejali, mwelewa, mwaminifu n.k ila kihalisia ukiwa na izo sifa mwnamke anakuona zoba.Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga.
Mimi niko na hasira mingi arifu (wanaita short tempered), ila huyu mwali nilimchana before na kila asubuhi lazima tupange how a day will go. Ila sasa huwa anafanya anavyotka yeye, nikianza kumpa malecture over nini na nini asifanye na afanye kwa namna ipi analeta lomoni (mastori shazi). Mara aniite mgomvi, mkorofi nk.
Sasa ako na chalii angu na siwezi muacha, but sioni future hapa.
Nawaza ni dawa ipi ya kuzibua masikio na akili wakuu, kwa heshima na taadhima naombeni mnisaidie.
Hakuna anayenisaidia chochote mkuu .Duniani sio paradiso. Jifunze kuitafuta kwanza furaha yako wewe kabla ya kumfurahisha mwingine. Unawafurahisha mama na dada ili upate nini? Labda wanakusaidia kumlea huyo mkeo??? Kama ndivyo sawa wanyenyekee vinginevyo unapoteza muda wako tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni mtu flani hivi poa Sana , Huo ni uandishi tuu ila huwa sizungumzi hivyo nikiwa nyumbaniKiswahili chako TU ulichokiandika hapo ni jibu tosha namna gani huyo mwanamke anakuvumilia
Siyo Mwarusha mkuu , ila ni kisanga na nusuAchana na mademu wa R
Aah fundi wangu..kichwa kitavimba.Genius!.... Marvelous!.....Fantastic!!....... Excellent!...... intelligent!......na mengine mengine mazuri mazuri yoooote ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mmechoka kutoa ushauri ππππKama huwezi kumuacha utajua mwenyewe. Unatuchosha makusudi kabisa