Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

Dawa ndogo itoshe kumpa lecture embu muache kuwa mkimya umzoom asiposhtuka jua unalikiazi hapo pita zko hvi
 
Tupo wengi mi wangu sio mgomvi tu pia akiwa na jazba ukamkosea huenda kujiliza kwa wamama wenzake atanisengenya huko uzur kitaa wanajua mm ni mtu flan hivi mpole mcheshi so humpuuza akiona hivyo huamia kwa ndugu zake atawaeleza matatizo yangu nduguze huja kwangu tunaomba umvumilie
 
Nilipitia wakat kama wako,dawa ni kumvuta bi mdogo tu huyo akiwepo kama option tu,mi nilfanya ivo saaiv amekuwa mstaarab mpk namuonea huruma
 
Mle 0713 halafu umuache usimuache bila kufanya hvyo atakudharau sana.
 
Katika kazi ambayo inafanywa kwa ufasaha na viganja, basi ni kofi.

Mwanamke hapigwi ila anatandikwa.

Use your palm to raise your value.
 
Mkuu mbona unapiga kwenye mshono , kweli hiyo ndo hofu yangu Kubwa ...

Ila deep down ninaumia mnoo ...

Mama yangu , dada yangu hawataki niiache hii mama ... Wanatumia kigezo cha mimi kuwa mkorofi utotoni eti na sasa hv nimekuwa mkorofi...
Ujingaa huu hata mimi watu wanasema mimi ni mchoyo na wote wanaosema hivyo nimejaribu kuwatendea wema lakini wanasema bado mimi ni mchoyo .Nikionyesha uchoyo wanasema siunaona huwa tunasema.

Mkuu mtu anapokuambia wewe ni mkorofi alafu unajua wewe sio mkorofii ndyo wasaa safi wa kuonyesha huo ukorofi.Hata ukijidai sio mkorofii Wana Ile mentality wewe ni mkorofi tangia utotoni.Chukulia hiyo kama FURSA fukuza MBWA Huyo maana atakuletea stress kama ni mtoto mtalea mbele kwa mbele.Asipotaka umwone Huyo mtoto atajijua yeye mwenyewe na mzigo wake

Kufuatisha MANENO ya watu utateseka sana na hao watu hawatakusaidia kitu.Inahitaji ujasiri sio kufikiria mara Tano Tano. Mwache Huyo mwanamke ATAKUPA stress na BP.
 
Inawezekana wewe ndio husikii na unatakiwa kuzibuliwa masikio, makubaliano ni muhimu kwenye mahusiano, anyway kama situation ni hiyo uliyoieleza na wewe mpelekee moto huo huo usimsikilize ili ajue ikishindikana kabisa tafuta uwanja mwingine achana na stress ila usijaribu kumpiga tafadhari
 
Mpige chini tafuta mwanamke msikivu utakuja kunishukuru...Uruhusu moyo wako umpoteze kabla yeye hajaruhusu moyo wake kukupoteza
 
Mkuu anzeni kufanya ibada pamoja au kama mlikua hamuendagi anzeni kwenda
Hayo mambo yanatokeaga mala nyingi ni kwasababu ya ibilisi tu hapendagi watu wafanikiwe
 
Hapo uko na mahusiano na mwanamke kiziwi lakini pia ni kipofu hivyo jitahidi kumuonesha upendo na wala usitumie ulemavu wake wa kutoona na kusikia kumnyantasa😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…