Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

Nenda kwa dentist. Hakuna mjuzi humu wala mtaani, dawa ni kumuona dentist atakwambia kama ni la kung'oa au kufanya root canal and filling.

Wabongo anzeni utaratibu wa kwenda kwa dentist every six month sio hadi meno yaume. Kumuona dentist na kufanya dental cleaning is very cheap. wengi mnanuka midomo.
 
Back
Top Bottom