Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Acha nye.ge ... Haya changia wewe ambae sio stupid..Nyie ndio watu husema bora mngezaliwa nguruwe angalau dunia ingekuwa haina matatizo. Ujinga unakuchekesha? Stupid!
Mkuu Jindal Singh. Hili swali ulilouliza kama nilivyosema bado wataalamu wengi hawakubaliani nalo. Ningeomba sana tufanye utafiti wa kisomi na tuache kupeana story za vijiweni. Kitu nilichogundua hapa ni kuwa wengi wa wachangiaji ambao wanadai wameshakutwa na wizi wa aina hii watakuwa walipitiwa tu usingizi na mambo ya dawa yakatumika kama kisingizio cha kuondoa aibu ya wezi kuingia ndani bila wao kusikia. Au labda wezi walifanikiwa kujipenyeza ndani na kuweka dawa kwenye vinywaji au vyakula na vilipoliwa vikawafanye walale. Japo sipingi kwa asilimia zote kuwa wapo wezi wenye technic hii lakini naomba tusome wenye muda wasome hii mikasa ya kuibiwa iliyotokea na wataalamu wa dawa za usingizi walivyotoa maoni yao. Ni makala ndefu lakini ni nzuri sana.Salaam JF.
Nilikuwa naomba uzoefu wenu wana jf, hasa katika hizi dawa wa wanazotumia wezi kuwaibia raia wema kuwapulizia madirishani wakati wa usiku wanapolala, kwanza nilikuwa nataka kufahamu jina lake na pili wapi wanapozipata lengo si kwa ajiri ya matumizi binafsi lengo ni kufahamu.
Sababu wizi wa kuvunjiwa milango na madirisha umekithiri kibaya zaidi wezi wanathubutu kuwaibia walala hoi hadi maafisa wa serikali wenye silaha, juzi kati mh. Fulani ambaye anacheo kikubwa tu serikalini alipigwa vitu vyake vyote sebureni na mwengine kasafishwa sebure yote na watoto wa mjini, akiwemo pia mwanajeshi mstaafu nae alivunjiwa nyumba na wezi kusafisha sebure lakini kabla ya kuiba wezi walikunywa chai iliyokuwa sebureni na kuondoka.
Inavyooshesha hii dawa inawapa kiburi sana, usishangae hadi usalama huwa wanapigwa.
Usiogope mpenzi twenzetu pm tena me nazama hadi chumvini!! Kumbuka Real men loves big women!!Hahaa....naogopa dudu
Hapa sasa nimekupata, kumbe wizi ni chain ndefu! kwa muundo huu hatuwezi dhibiti wizi.Mkuu Jindal Singh. Hili swali ulilouliza kama nilivyosema bado wataalamu wengi hawakubaliani nalo. Ningeomba sana tufanye utafiti wa kisomi na tuache kupeana story za vijiweni. Kitu nilichogundua hapa ni kuwa wengi wa wachangiaji ambao wanadai wameshakutwa na wizi wa aina hii watakuwa walipitiwa tu usingizi na mambo ya dawa yakatumika kama kisingizio cha kuondoa aibu ya wezi kuingia ndani bila wao kusikia. Au labda wezi walifanikiwa kujipenyeza ndani na kuweka dawa kwenye vinywaji au vyakula na vilipoliwa vikawafanye walale. Japo sipingi kwa asilimia zote kuwa wapo wezi wenye technic hii lakini naomba tusome wenye muda wasome hii mikasa ya kuibiwa iliyotokea na wataalamu wa dawa za usingizi walivyotoa maoni yao. Ni makala ndefu lakini ni nzuri sana.
'Unlikely' that sleeping gas was used in Jenson Button robbery, experts say
The Royal College of Anaesthetists has debunked claims the F1 star was knocked out by sleeping gas before burglary
Anaesthesia experts have debunked claims that French robbers used sleeping gas on Formula One star Jenson Button and his wife during a burglary.
The 35-year-old racing star and his wife Jessica were feared to have been knocked out by gas pumped into their luxury villa on the French Riviera, leaving them helpless as thieves seized her £250,000 engagement ring on Monday night.
A source told the Sun newspaper: “Police have told Jenson they’re convinced the burglars gassed the house using the air conditioning units.
"Jenson is convinced that’s what happened too. The burglars were in the same room as him and Jessica, rifling through all their drawers.
“But they weren’t disturbed at all because the effects of the gas gives the burglars free reign."
There were reportedly three other people in the property at the time who were also affected by the gas.
But a spokeswoman for the Royal College of Anaesthetists has poured cold water on the claims, saying such a scheme would be nearly impossible.
"Our view is that it is very unlikely because it would be so impractical," she told The Telegraph.
"You would need to use a truckload of gas, and that amount would be phenomenally expensive to obtain.
"One has to ask why anyone would spend so much money on what is such an impractical method."
The gases are so pungent that the victim would be able to smell it even if they were asleep, she added.
The robbery is the latest in what seems to be a spate of gas attacks on wealthy celebrities on the French Riviera.
In 2006 the French footballer Patrick Vieira fell victim to a similar robbery, where thieves reportedly pumped gas into his property's air vents before fleeing with jewelry and his Mercedes.
The former Arsenal captain and his wife Cheryl, as well as their daughter, all awoke with splitting headaches and immediately knew something was wrong, according to reports.
Five people were arrested in connection to the theft in Nice and investigators later tracked down the missing 4x4 vehicle.
The fashion gurus Trinny Woodhall and Susannah Constantine were prey to a similar attack four years later in Cannes, where they were allegedly smothered with chloroform.
Thieves crept into the What Not To Wear presenters' villa and clamped chloroform-soaked pads onto their mouths, robbing them of jewelry and cash as they slept, it was claimed.
Experts say it is unclear whether the robberies were all committed by the same gang, pointing out the incidents took place over a number of years.
It was also speculated that the robbers behind the 2006 and 2010 robberies passed on their skills to a younger gang who carried out the attack on Mr Button.
Professor Michael Levi, an expert in security and organised crime at the University of Cardiff, said he suspected the gang bought the drugs on the black market from a corrupt medic or chemist.
Speaking to The Telegraph, he said: "In this case it may be that you have a gang of relatively low level criminals working with or being supplied by a chemist who has expertise on how to administer the gas without harming anyone.
"There is obviously a risk in that if you don't administer the dosage correctly you could kill someone, or they could wake up in the middle of what you are doing," he said.
Prof Levi added: "You would need prior knowledge of how to administer the gas correctly, and this gang may well have experimented or done a sort of dry run on how to do it properly before
"They key question is where this gas is coming from, and I expect they will have been looking for it in hospitals, or at large suppliers, and will have approached someone like a medic, or perhaps a former medic, who is willing to sell it to them."
The Royal College of Anesthetists issued a similar statement last year amid claims that Britons were being gassed and burgled in motor homes.
It read: "Despite the increasing numbers of reports of people being gassed in motor-homes or commercial trucks in France, and the warning put out by the Foreign Office for travelers to be aware of this danger, this College remains of the view that this is a myth.
"It is the view of the College that it would not be possible to render someone unconscious by blowing ether, chloroform or any of the currently used volatile anaesthetic agents, through the window of a motor-home without their knowledge, even if they were sleeping at the time.
"If there was a totally safe, odourless, potent, cheap anesthetic agent available to thieves for this purpose it is likely the medical profession would know about it and be investigating its use in anaesthetic practice."
The McLaren driver and his wife Jessica Michibata married in Hawaii last Christmas at a ceremony in Maui.
Link: 'Unlikely' that sleeping gas was used in Jenson Button robbery, experts say
hii kali. kumbe scorpion hakukosea kumtoboa mtu macho.Hiyo dawa haifai wadau wezi wanafika wanavuta viti wanakaa wanaorodhesha vitu vya kuiba na bei ya kuuzia
ni noma aiseeTehe tehe tehe hayo majamaa yaliyokunywa mpaka chai ni 'noma', ukweli lazima tuyapongeze kwa umafia walioufanya kwa sababu huwezi kwenda kwenye nyumba ya mtu kuiba halafu ukanywa mpaka chai ni 'noma'.
Nakumbuka wakati naishi Kunduchi, jirani yetu mmoja alikuwa mfugaji wa bata. Alikuwa na bata wengi kama utitiri. Kumbe basi wazee wa kazi siku nyingi walikuwa wanawamezea mate wale bata.
Siku ya siku wazee wa kazi wakatia 'maguu', nafikiri walitumia hiyo dawa ya usingizi kwa maana siku hiyo usingizi ulikuwa mtamu balaa! Wazee wa kazi kama kawaida yao, wakachukua bata wote hawakuacha hata manyoa...watu tunaamka asubuhi tunakuta banda leupe, dah siku hiyo nilicheka sana kwa sauti ya chini chini kwa sababu wazee wa kazi walikuja na 'kiroliroli'... tuliona tu alama za matairi ya gari, yani wazee wa kazi kwa jeuri walikuja mpaka na gari, ule mngurumo wa gari watu hatukusikia tunakoroma tu, ha ha haa ni 'noma!'
Al Badir kwenye ubora wakeKaka kuna watu na shunguri zao aisee. Mie nlikuwaga mbishi kama wewe, kuna mzee mtaan aliibiwa bajaj kwake aisee. Wezi walikuja ucku wakafungua get wakaiba bajaj.
Yule mzee hakwenda kushtak hata polisi. Ila baada ya siku kama mbili hivi wale wezi walirudisha bajaj huku wanaikokota.
Yule mzee hakushtuka aliwafungulia geti wakapak bajaj akamwambia mkewe awape naul wakaenda. Hata hawakuguswa wale wezi.
Kuna watu na shughuri zao
[emoji3] [emoji3] ukipuliziwa mkuu ni hatari hata bakora wakiamua mnacharazwa....kweli kweli.Dawa hiyo ipo kwenye maduka ya dawa.
Naomba nisitaje jina hapa ,Fika duka la kilimo na mifugo ipo
Inawezekana lakn nawapa taarifa unless mwz n mwanafamilia.Unaweza weka hivo akaja mwanao au ndugu akala akafa kweli ni hatari hyo njia Mara nyingi huwarudia familia ya walio itega
Afu we jamaa na kiavstor chako umeniudhi yaani nilitaka kuwipe kioo cha simu nikijua ni mdudu anatembea kwa kioo kumbe sioAliyesema walioga ni nani, tuanze naye.
Hii si inatumika kwenye maji kuyatreatTaja jina kaka hizo chemicals tuzielewe kuna mwana anasema.chloroform..nahisi.yupo chaka
Unaweza kufa ikizidi mwiliniIyo klolofom inakuwa kama perfume au ya unga? Then ina control kiru gani katika mwili mpaka unalala fofofo.
Ingetokea siku moja na yeye inampata analala asubuhi mnaamshwa wote pamoja na kaka jambaziumenikumbusha mwaka 2009 tuliibiwa vitu vyote mpaka nguo zilizotundikwa nyuma ya mlqngo nass tumelala humohumo ndani sikujua mpaka leo walitumia dawa gani kali kiasi kile.... lol
Mimi waliwahi kunivamia kwa kutumia hiyo dawa lakini kwa uwezo wa Mungu nilifanikiwa kuwakamata wakati wameshachukua kila kitu sebuleni mwaka 2011 Mbagala Chalambe maeneo ya Uwanja wa Ninja.Salaam JF.
Nilikuwa naomba uzoefu wenu wana jf, hasa katika hizi dawa wa wanazotumia wezi kuwaibia raia wema kuwapulizia madirishani wakati wa usiku wanapolala, kwanza nilikuwa nataka kufahamu jina lake na pili wapi wanapozipata lengo si kwa ajiri ya matumizi binafsi lengo ni kufahamu.
Sababu wizi wa kuvunjiwa milango na madirisha umekithiri kibaya zaidi wezi wanathubutu kuwaibia walala hoi hadi maafisa wa serikali wenye silaha, juzi kati mh. Fulani ambaye anacheo kikubwa tu serikalini alipigwa vitu vyake vyote sebureni na mwengine kasafishwa sebure yote na watoto wa mjini, akiwemo pia mwanajeshi mstaafu nae alivunjiwa nyumba na wezi kusafisha sebure lakini kabla ya kuiba wezi walikunywa chai iliyokuwa sebureni na kuondoka.
Inavyooshesha hii dawa inawapa kiburi sana, usishangae hadi usalama huwa wanapigwa.