MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
kama wanatumia chloroform nakuomba nikupe kazi ukafanye tuprove kama ni yenyewe. Najua panya ukimpiga chloroform anapoteza faham pia, sasa wewe chukua huyo panya au chura mweke kwenye box kubwa kiasi kumtosha yeye na kikopo cha maji kikubwa cha kutosha kilichowazi kwa juu then funga box lako na puliza hiyo chloroform na baada ya muda ambao unatarajia kuwa panya/chura atakuwa usingizini fungua na tupe mrejesho kama utakuwa macho au usingizini.!
!
Wanatumia klorofom mkuu wanapuliza wewe ukiivuta kwishne
kweli kabisa mkuuHa! Ha! Alafu ukiamka unaweza ukawa unacheka mwenyewe.
Thubutuuu wameniibia mara mbili Samsung inch 40 na mifeni yangu miwili ikiiunguruma ndani. Yaani siku hizi pamoja na kuweka mlinzi bado nikitaka kulala nabeba Tv naingiza chumbani. Maana kila nikinunua wanakuja kuchukua kama zao, ya pili waliifungua ukutani kabisa.Ukilala washa feni
Sasa Na wao wakivuta haiwadhuru au inakuaje kwa hapo?Inawezekana wanatumia chlorofoam.
Sio mwanamke tu mkuu hata kidume wanaweza legeza marinda.ukiona wamesepa na zagazaga na wewe wamekuacha salama unscathed ni jambo la kushukuru mungu.
hah hah hah hah mkuu umetishaaaaThubutuuu wameniibia mara mbili Samsung inch 40 na mifeni yangu miwili ikiiunguruma ndani. Yaani siku hizi pamoja na kuweka mlinzi bado nikitaka kulala nabeba Tv naingiza chumbani. Maana kila nikinunua wanakuja kuchukua kama zao, ya pili waliifungua ukutani kabisa.
Hahaha nasikia wanakugusagusa na limjiti kwanza Shuwain sana hahahaNa wakisha pulizia ,wanatest vipi kama dawa imekubali na mpuliziwa amelala fofofo?
Hahahaha Mkuu Mbwembwe za kufunga Tv ukutani sebuleni zimeniisha. Mara mbili waliingia wakazifungua wakachukua kama zao.hah hah hah hah mkuu umetishaaaa
Pole sana ndugu.nataka kujua ni maeneo gani hapa mjini ambapo hayo mambo yamekithiri.maana mi naishi uswahilini lakini huku sijawahi kusikia wizi wa dizaini hyoMimi nashukuru waliniacha salama pamoja na wife na mtoto mdogo, ila walibeba mpaka nguo na walivunja mpaka mlango wa chumbani
Hatari sana mkuuHahaha nasikia wanakugusagusa na limjiti kwanza Shuwain sana hahaha
Nikifika duka la dawa nasemaje?
Jina la dawa na kazi take!