Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Nilikuwa nawaza kwa sauti hii mbinu ya maji...
Lakini nikawa najiuliza kuwa litaulizwa swali uhusiano uliopo baina ya hiyo dawa na maji, kwa nini maji yakiwepo haiwezi kufanya kazi!!
Inakuwa deactivated na maji. Tena yakiwa katika chombo chenye high exposure kama beseni au ndoo ni vyema zaidi. Nitaleta chemistry yake baadae
 
Duhh, ndio maana akikamatwa mwizi wengine wanapagawa na jambo au adhabu ya haraka inayowajia kichwani ni kumuua mwizi!
 
Dah tumewahi ibiwa Mara mbili na hao watu wa dawa hadi leo sijui hua wanafanyaje kabla
 
Bwana MUNGU asipoilinda nyumba, wailindao wakesha bure Zaburin127. Dawa yangu ni Zaburn121, nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi?Msaada wangu u katika BWANA aliyezifanya mbingu na nchi.
Sijakuelewa
 
Kwa nini amuweki vifaa vya electronic (alarm) vya kuwalinda, vipo mpaka vya kunusa madawa kama hayo ya cloroform na moshi.
Kweli mkuu. Watu wapo tayari kuyumia gharama yoyote kuweka alarm kwenye gari lakini uhai wake haujali kabisa. Maana mwizi kuingia ngani ukiwa fofo nisawa na kumkabidhi uhai wako maana anaweza kuganya chochote na akatokomea bila hata kuacha alama. Tubadilikeni jamani, zipo alarm za bei chee kabisa. Ukigusa tuu ni kama king'ora cha ambulance au gari za police. Hadi majirani wataamka
 
Lazima kuna kitu chaziada waliwafanyia na hawakupenda kulisema hilo hadharani maana ni aibu. Kama waliweza hadi kuwatenganisha hadi vyumba, inawezekana walifanya mengi
 
Kuna jamaa walipigwa vitu vyote ndani waliokuwa wamelala wakahamishwa kutoka kitandani wakashushwa chini magodoro yote waliondoka nayo! kwenye friji kulikuwa na vinywaji walivinywa vyote wakachukua mzingo wakasepa
 
Ili kuzuia hyo dawa pindi mnalala achen maji yakiwa waz kwenye ndoo au bakuli.. yaachen aehem mnayolala.. dawa hapo haiwez kufanya kaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…