Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.

Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo

Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.

Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
 
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti. Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Usimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.
P
 
Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.

Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo

Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti. Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
IMG-20260827-WA0003.jpg
 
Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.

Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo

Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.

Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuzioto
 
Ila kati ya hawa uliowataja kuna mmoja mfitini sana
 
Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuzioto
Kwani ulitegemea samia angeutaka urais wa Tanzania kabla ya kuwa makamu? Kwenye siasa ukisogezewa chance usiisukumia mbali kwa ajili ya baadaye.
 
Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.

Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo

Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.

Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Unataka kusemaje??
Kwa Mwigulu na Makonda ndo wanajiandaa 2030?
 
Back
Top Bottom