Hivi yaweza kutokea Makonda akawa rais wa hii nchi ndugu yangu paskaliUsimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.
P
Hivi yaweza kutokea Makonda akawa rais wa hii nchi ndugu yangu paskaliUsimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.
P
SanaKweli siasa mchezo mchafu,sekunde Tano kwenye siasa ni nyingi sana
Unzazibar wanaujua wengine. Anajulikana ni Mgogo wa bara. Kabila pendwa la Serikali.Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuzioto
aaaahhhaaaahhhaaahh. Cha ajabu huenda wote hakuna president hapo.Ila kati ya hawa uliowataja kuna mmoja mfitini sana
Huyo mtu anausaka Urais usiku na mchana. Wewe tulia tu huwezi amini.Hivi makonda ana umuhimu Gani wewe mnafiki
Alihisiwa pia kuwa Makamu wa Rais. Umuwazaye siye na usiemfikiria ndiye.Hivi yaweza kutokea Makonda akawa rais wa hii nchi ndugu yangu paskali
Ndyo. Na hawapatani kwa ajili hiyo. Sasa kaletwa Deo.Unataka kusemaje??
Kwa Mwigulu na Makonda ndo wanajiandaa 2030?
Mimi binafsi siwezi kumdharau mwanasiasa yeyote. Yani hatma ya Mwanasiasa aijuaye Mola tu.Hivi yaweza kutokea Makonda akawa rais wa hii nchi ndugu yangu paskali
Pole MkuuYote hayo ni mahayawani, mawakala wa ibilisi, hakuna aliye wa afadhali. Hao wote ni sehemu ya laana ambayo nchi inapitia. Wote ni sehemu ya watawala wauaji.
Ramli mboga mbogaItakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.
Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.
Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Yeye anajiona presidential material. Anawafitini wenzie na kuwananga. Bila jicho la 3 huwezi kufahamu.Hivi Makonda kwa sifa zipi haswaa
""Tusubiri kupatwa kwa jua au mwezi kuna mwingine yeye mwenyewe atasema sitaki uongozi miye najiuzulu """Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.
Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.
Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Atatangulizwa mbele na akina GSM, Rostam na majiz papa mengine kuutaka huo urais halaf akishaonja utam wa umakam ataachaje kuutak urais wenyewe?Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuzioto
Taratiiibuuuu asee urais ndo umedharauliwa hivyo?Ndyo. Na hawapatani kwa ajili hiyo. Sasa kaletwa Deo.
Tupe code""Tusubiri kupatwa kwa jua au mwezi kuna mwingine yeye mwenyewe atasema sitaki uongozi miye najiuzulu """
Yani hicho cheo ni kama ngekewa tu. Usishangae sana.Taratiiibuuuu asee urais ndo umedharauliwa hivyo?
Ndio mawazo yenu yanapoishia.Hivi yaweza kutokea Makonda akawa rais wa hii nchi ndugu yangu paskali
Makonda hamna kituHivi Makonda kwa sifa zipi haswaa