Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Usimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.
Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti. Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
aaaahhhhaaa aahhaaaCCM hata wakiuwana wote ni sawa tu
Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.
Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti. Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Mkuu yeyote ambaye ni CCM usiwaonee huruma hawa MAJANGIRIaaaahhhhaaa aahhaaa
Ktk siasa lolote lawezekana mapema tu. Nani alijua ataukwaa Umakamu mapema?Usimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.
P
Kweli siasa mchezo mchafu,sekunde Tano kwenye siasa ni nyingi sanaKtk siasa lolote lawezekana mapema tu. Nani alijua ataukwaa Umakamu mapema?
Akisubiri 2040 huenda akawa amechuja mno. Mfano Rais akitoka bara 2030 kwa katiba hii yeye itabidi apishe kama mstaafu.
Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuziotoItakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.
Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.
Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Ila kati ya hawa uliowataja kuna mmoja mfitini sanaItakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.
Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh.
Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo
Siasa ni hovyo sana, anaondoka adui huyu anakuja mwingine tena mweye haiba na sura tofauti.
Je ikiwa kweli Nchimbi aliwindwa kwa kudhaniwa ndiye 2030 Ndejembi japo atakuwa mpole na Mtiifu, ataachwa na WACHU WA MADARAKA?
Kwani ulitegemea samia angeutaka urais wa Tanzania kabla ya kuwa makamu? Kwenye siasa ukisogezewa chance usiisukumia mbali kwa ajili ya baadaye.Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuzioto
And have useless thinkingUseless people in a useless country 🚮
Manjaa kwa kujikomba sina mfano. Unaramba hata makalio ya watoto wadogo!!!Usimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.
P
Ndivyo alivyokwambia au hisia zako zinakwambia hivyo?Usimwingize Deo kwenye vita ya 2030, yeye labda 2040.
P
Unataka kusemaje??Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi.