Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

Yote hayo ni mahayawani, mawakala wa ibilisi, hakuna aliye wa afadhali. Hao wote ni sehemu ya laana ambayo nchi inapitia. Wote ni sehemu ya watawala wauaji.
 
Ramli mboga mboga
 
""Tusubiri kupatwa kwa jua au mwezi kuna mwingine yeye mwenyewe atasema sitaki uongozi miye najiuzulu """
 
Huyu mshambamshamba aliyeokota Dodo chini ya mpera kwa sababu ya vi element vya U-Zanzibar anaweza kuutaka ukuu?? Haah! Hii itakuwa maajabu, naona kama hizo ndoto kwake bado hajawaza hata kuzioto
Atatangulizwa mbele na akina GSM, Rostam na majiz papa mengine kuutaka huo urais halaf akishaonja utam wa umakam ataachaje kuutak urais wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…