Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Habarini nyote,

Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo.

Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi.

Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari.

Yangu ni hayo tu.
 
Tutaaminije kuwa unayosema ni kweli?, humu jamiiforum mtu akikwazana na Malaya wake huko anakuja kusigina mitandaoni

Huna tofauti na Ile mijimama shapeless inavyowazibia riziki wadada wazuri wenye figure zao mjini utaskia wanaume wote ni mbwaaa
 
Maarifa tunatoa bure usipotaka unayatupa
 
Screenshot_20230805-224957.jpg
 
Kwahiyo tushikilie wapi , mwanamke aliyeachwa au mwanamke aliyeachwa bila sababu maarumu?
Ibebe yote yote akili kichwani chukua panapo kukosha wewe au unapuuza vyote. Mimi sio Mtume Paulo ni mtu wa kawaida tu
 
Mkuu uko speed sana hebu tulia tuhabarishe juu ya dhambi na nuksi unazozungumzia.
 
Back
Top Bottom