Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

Usitususie jibu tunataka ufafanuzi mzuri mbona utulii?
Mwamba hili ni jambo la Imani na kimantiki ebu fikiria kwa kutulia anakiuka agano la Mungu huadhibiwa. Fanya fikra mtambuka utapata kitu. Zingatia mantiki ya haki na kweli katika Imani utapata kitu
 
Ndoa ni agizo la mungu haijalishi mke bikra au laa!
Haijalishi mke mjane au kaachika
Sisi tunasimamia neno NDOA hizo tofauti zengine ni fikra tu za kiimani potofu
 
Sawa hio sisi ni jumuishi na nani, huo wingi wa pomoni ukoje
 
Back
Top Bottom