Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Mwanamke kikawaida anaishi na mzimu wa kila mwanaume alotoka nae sasa mwanamke ambae alisholewa kivuli Cha mume hua hakitoki bila sababu ya msingi ya kuachana inayokubalika kimaandiko ya MunguNuksi yake ni ipi mkuu hebu fafanua vyema
Maarifa tunatoa bure usipotaka unayatupaTutaaminije kuwa unayosema ni kweli?, humu jamiiforum mtu akikwazana na Malaya wake huko anakuja kusigina mitandaoni
Huna tofauti na Ile mijimama shapeless inavyowazibia riziki wadada wazuri wenye figure zao mjini utaskia wanaume wote ni mbwaaa
Kwahiyo akiachwa na sababu ya msingi kivuli cha mzimu kinaondoka?Mwanamke kikawaida anaishi na mzimu wa kila mwanaume alotoka nae sasa mwanamke ambae alisholewa kivuli Cha mume hua hakitoki bila sababu ya msingi ya kuachana inayokubalika kimaandiko ya Mungu
Ndio kinaondoka sababu haki inaondoa kivuli haraka sanaKwahiyo akiachwa na sababu ya msingi kivuli cha mzimu kinaondoka?
Kwahiyo tushikilie wapi , mwanamke aliyeachwa au mwanamke aliyeachwa bila sababu maarumu?Ndio kinaondoka sababu haki inaondoa kivuli haraka sana
Braza kausha
Mimi napiga kwenye mfupa kila siku.Braza kausha
Ibebe yote yote akili kichwani chukua panapo kukosha wewe au unapuuza vyote. Mimi sio Mtume Paulo ni mtu wa kawaida tuKwahiyo tushikilie wapi , mwanamke aliyeachwa au mwanamke aliyeachwa bila sababu maarumu?
Kumbe hili sio andiko ni maino yako?Ibebe yote yote akili kichwani chukua panapo kukosha wewe au unapuuza vyote. Mimi sio Mtume Paulo ni mtu wa kawaida tu
Ndoa inavunjwa na mwanamke fake tu, wanawake real hawaachiki kamweHivi kwanini siku zote ndoa ikivunjika basi mwenye shida ni mwanamke? Ina maana wanaume mmeumbiwa ukamilifu?
Amua yako kwa mila yako kuna suksi za haki na karma na Mila na kufuruKumbe hili sio andiko ni maino yako?
Usitususie jibu tunataka ufafanuzi mzuri mbona utulii?Amua yako kwa mila yako kuna suksi za haki na karma na Mila na kufuru
EwaaaaMkuu uko speed sana hebu tulia tuhabarishe juu ya dhambi na nuksi unazozungumzia.