Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
- Thread starter
-
- #21
Mwamba hili ni jambo la Imani na kimantiki ebu fikiria kwa kutulia anakiuka agano la Mungu huadhibiwa. Fanya fikra mtambuka utapata kitu. Zingatia mantiki ya haki na kweli katika Imani utapata kituUsitususie jibu tunataka ufafanuzi mzuri mbona utulii?
Ndoa ni agizo la mungu haijalishi mke bikra au laa!Mwamba hili ni jambo la Imani na kimantiki ebu fikiria kwa kutulia anakiuka agano la Mungu huadhibiwa. Fanya fikra mtambuka utapata kitu. Zingatia mantiki ya haki na kweli katika Imani utapata kitu
Sawa hio sisi ni jumuishi na nani, huo wingi wa pomoni ukojeNdoa ni agizo la mungu haijalishi mke bikra au laa!
Haijalishi mke mjane au kaachika
Sisi tunasimamia neno NDOA hizo tofauti zengine ni fikra tu za kiimani potofu
Pomoni ?Sawa hio sisi ni jumuishi na nani, huo wingi wa pomoni ukoje
Kujaa na kumwagika ndio pomoniPomoni ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mwanaume aliyeachwa yeye Hana mikosi?
SawaKujaa na kumwagika ndio pomoni
Mkosi kwa aloiba mke au mchumba wa mtuNa mwanaume aliyeachwa yeye Hana mikosi?
Ungewajumuisha Sasa dhambi na mikosi Kwa mwanaume au mwanamkeMkosi kwa aloiba mke au mchumba wa mtu
Hii sayansi ya wapi mkuuMwanamke kikawaida anaishi na mzimu wa kila mwanaume alotoka nae sasa mwanamke ambae alisholewa kivuli Cha mume hua hakitoki bila sababu ya msingi ya kuachana inayokubalika kimaandiko ya Mungu
Hakuna mikosi Wala Nini asitutishe😀 kama ameachwa akubali tu yaisheHii sayansi ya wapi mkuu
Hainitishi hio hutaki acha sio shuruti na sio shibe yakoHakuna mikosi Wala Nini asitutishe😀 kama ameachwa akubali tu yaishe
Yaani kuliko kuanza kusingizia sijui kivuli au mizimu khaHakuna mikosi Wala Nini asitutishe😀 kama ameachwa akubali tu yaishe
Chanzo cha uasi ni EvaHivi kwanini siku zote ndoa ikivunjika basi mwenye shida ni mwanamke? Ina maana wanaume mmeumbiwa ukamilifu?
Hio iletwe na KeUngewajumuisha Sasa dhambi na mikosi Kwa mwanaume au mwanamke
Kwanza kivuli Cha wapi bila jua wakat wa masika hiko kivuli kitakaa wapi 😀😀😀Yaani kuliko kuanza kusingizia sijui kivuli au mizimu kha
Kuanza kubebeshana vivuli inahuuuu🤣🤣
AsanteHio iletwe na Ke