Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

Yaani kuliko kuanza kusingizia sijui kivuli au mizimu kha

Kuanza kubebeshana vivuli inahuuuu🤣🤣
Ukiujua uko kiimani na shahawa utaelewa we shupaa tu sio lazima hata hivyo
 
Ukiujua uko kiimani na shahawa utaelewa we shupaa tu sio lazima hata hivyo
Ingekua hivyo basi hata hao wanawake wasingeolewa maana wanatembea na vivuli vya maX wao.

Lakini kwanini wanaume wasitembee na vivuli vya wake zao? Naomba kujua tafadhali
 
Ingekua hivyo basi hata hao wanawake wasingeolewa maana wanatembea na vivuli vya maX wao.

Lakini kwanini wanaume wasitembee na vivuli vya wake zao? Naomba kujua tafadhali
Endeleeni kuhuisha Bali rasmi hubeba rasmi ni hayo tu
 
Kaz ya kutafuta mke ni ngumu sana nimeamua wakati mi naendelea kutafuta nimewapa kazi shangazi zangu wote mama wadogo na wakubwa wote baba na mama nao kila mmoja anitafie mchumba anaeona anafaa alaf mi kazi yangu itakua Kama jaji wa Bongo star search kutaja mshindi ni nani
 
Wewe vipi mwenzio nakula Bata huku DSM wewe huko Moro hujatoka? Mafuriko vipi mlizuia mvua tangu enzi za January?🤣🤣🤣
 
Tulishafanyia mabadiliko hicho kipengele siyo kuona kaburi tu ni kwenda mahakamani kuomba kibali cha kufukua kaburi uthibitishe na jopo la madkari bingwa
Hahahaaa wana jopo jopoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…