Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Unamzungumziaje yule jamaa anaejiita intaneshno dj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila kuna Dj mmoja yupo Dodoma Dj Masu eee bwana eee, acha kumsikiliza na kumfatilia Dj Ommy Crazy, una mcopy sana mpaka unaboa mjomba, pia ku hype achana na hizo mishe, piga kawaida tu tutakuelewa
Mkuu dj masu alikuwaga club laaziz hapa dom makole ila jamaa ana playlist nzuri
 
Dj joe mfalme nilikuwa namsilikiza sana kipindi nipo advance,mpakani na kenya..jamaa anajua aisee..
 
Dj joe mfalme nilikuwa namsilikiza sana kipindi nipo advance,mpakani na kenya..jamaa anajua aisee..
Noma sana,jamaa Wana effect Kali ,kuna sampler nimezisikia kitambo Nairobi,sasa hv ndo zinatamba bongo....
DJ Joe mfalme level nyingine kuna program mmoja inaitwa "story yangu" inaelezea maisha ya watu maarufu... alikuwa anaelezea maisha yake pale ndipo nilipo jua huyu jamaa abahatishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kwenye play list yangu nimejaza mixtape za DJ Kanji, jamaa ni noma mpaka wakina Romain Virgo wanampa shout
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…