Solotov
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 263
- 295
Unamzungumziaje yule jamaa anaejiita intaneshno djKwa mtazamo wangu:Kwa hapa bongo ma DJ wengi hawana skills ,wengi wao wamevamia fani,ndio maana ukisikiliza radio nyingi za dar karibia kila siku nyimbo ni zile zile, sampler ni zile zile, effects zile zile,hata club ni hvyo hvyo........Kuna lounge moja maarufu Tu hapa mjini ipo jirani na ninapoishi ilifikia hatua DJ akipiga unajua nyimbo itakayo fuata na kufuata...hii ni kutokana na alivyopiga juzi ,Jana ni vile vile...
Wengi wa madj wetu hawajui nyimbo nyingi na ni wavivu ndio maana playlist zao ni ndogo pia..
Bora hata ma DJ wa mikoani hata radio zao zinapiga nyimbo tofauti tofauti sema Tu vifaa sio vya kisasa ukilinganisha na hawa mabishoo wa town
Ma DJ wazuri wapo Kenya mfano DJ khanji, joe mfalme,cream de la creamer
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app