Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Mbona wewe hujatupa experience yako??
 
Kuna madjz wa redio mpya Mbeya inaitwa Access fm, kuna DVJ nicky the best na @DJ Dhifa untouchable na wenzao wengine Kama wawili Hivi pale ni hatari Sana wale jamaa, zamani Nilikuwaga namkubali Sana DJ maliz wa kiss fm kipindi hicho,ilikuwa inakuwa jioni kipindi cha top ujazo,na DJ mafuvu East africa radio cjui now wako wapi.
 
Mi nawachukia madj wote wanaopiga miziki robo robo,scratches nyiingi zisizo na mpango...na kuingea ongea sana....nawakubali madj wanagonga ma old skuul za maana akina P.Moe, B.Love,JD and the team,JP Pantalakis,Mr C etc
 
Karibu tena Club the Mint mzee.
 
DJ Nelly D,DJ Feruuh na DJ Summer TZ,DJ kiduara na DJ Weasel from SAUT FM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…