mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Ajabu kweli ....hilo swali ulitakiwa umuulize Mungu alafu unakuja hapa kutuuliza sisi. ..kama sio uonevu ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unamawazo kama yangu yani...Shetani ni 'imaginary spirit' kuna mambo tunafichwa tu, haiwezekani Mungu atumie muda mrefu na ubunifu namna hii kuumba the said Mbingu kisha mwanadamu halafu akorofishane na kajamaa kadogo tu kisha alete distruction kubwa namna hii duniani na huko ahera tunakoambiwa!
Duh hili nilikuwa silijui ati!!palikuwa dampo la jiji kama kulivyo pugu. yesu alifananisha mwisho wa waovu sawa na kutupwa kwenye dampo la jiji. hakuna moto wa mateso bali kuna uzima wa milele kwa waadilifu na kifo cha milele kwa waovu.
Tunakusubiri kwa hamu..na mungu akufanyie wepesi upate kutupa elimu..ila tuta angalia logicSwali zuri, hili jibu utalipata kwenye Quraan tu, hichi ndo kitabu cha Mungu mwenyewe.
Inabidi niivute Quraan karibu,Kwa sasa sina mda, nkipata mda ntakuja hapa tuelimishane vizuri.
daaa! hizi aya balaaHakuna moto wa milele.
soma Mwanzo 3:19
Mhubiri 9:5,6,10
Zaburi 146:3,4
Yeremia 7:31
kugeuka kwenda wapi?Vitaumbwa vipya na nchi zitageuka
kuna hii website ina majibu mengi sana www.jw.org/sw. kuna maelezo kama vile kwanini kuna vita, magonjwa, njaa na majanga mengine?Duh hili nilikuwa silijui ati!!
Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Nawasilisha..karibuni
Lakini vitabu vinasema kuwa ni moto wa milele..je kutakuwa na mahusiano mazuri hapo kati ya mungu na wanadamu??hebu fafanua vizuriHakuna haja ya kutukanana ndugu zangu. Binadamu ameumbwa kureason. Dini ni imani na imani lazima iwe reasonable. kwa utangulizi huo naomba kujibu swali kwa mtazamo wa Ki-kristo.
Kuna tabia za Mungu ambazo lazima tuanzie nazo ili kujibu swali hili vizuri.
- Mungu ni Mtakatifu
- Mungu habadiliki
- Mungu ni mwenye Upendo na huruma
- Mungu ni mwenye haki
Tabia yake ya utakatifu haijawahi na haitakuja kuvumilia uovu/dhambi. Tabia ya Mungu inahitaji viumbe wake waishi kama yeye maana ni watoto wake. Tabia ya kutobadilika inamfanya Mungu asiwe ni wa kuendeshwa na matukio. alichopanga amepanga na kitafanyika no mater what. Tabia ya upendo na huruma humfanya Mungu kuvumilia na kutoa fursa kwa waovu kujirudi baada ya maonyo yake. Haki ya Mungu inaonekana pale anapotimiza takwa la umbile lake kutotendewa haki.
Sasa dhambi ni tatizo kati ya Mungu na wanadamu wote nikiwemo na mimi. Hii haiendani na tabia ya Mungu, hili linasababisha hasira ya Mungu kuwaka juu yetu wote. Mungu anafanyaje sasa? 1. Kwa upendo wake anaokoa wote wanaomkubali Yesu kwa maana hasira yake juu yetu imewekwa juu ya Yesu. 2. anawachoma moto wote wanaomkataa Yesu ili haki itendeke na kubaki kuwa mtakatifu.
Kwa hiyo siyo suala la Mungu kupata faida, bali kuweka sawa mahusiano na tabia yake.
Lakini vitabu vinasema kuwa ni moto wa milele..je kutakuwa na mahusiano mazuri hapo kati ya mungu na wanadamu??hebu fafanua vizuri
Super computers za sasa ziko designed na binadamu like you and me na ziko complex like any other system or human body na zinafanya kazi close to human brain,in future ukiongeza na AI (artificial intelligence) na mambo kama quantum computers,material science etc,nafikiri super computers zitakuwa more complex and powerful than anything you ever know na uwezo kuliko human brain millions times, nafikiri swala kuhusu mungu in future litaweza kujibiwa precisely kutokana na maendeleo ya science and technology...ni swala muda tuuMkuu ulishawahi kaa siku moja ukafikiria jinsi mwili wa binadamu ulivyo complex? Na nani hasa aliudesign na kuutengeneza hapo ndio utajikuta lazima uamini kuwa Mungu yupo tena kweli kabisa.
Eti wanasema religion limit your thinking capacity...religion philosophersMchungaji wangu siku 1 aliniambia ( Kuna mambo mengine yaache kama yalivyo )
Basi wapagani wana thinking capacity kubwa [emoji1]Eti wanasema religion limit your thinking capacity...religion philosophers
Wapaagani pia wana imani zao...modern religious civilization huwaona hawana dinj kwa kuwa hawasapoti their beliefs. Anyway thats how religiuos philosophers argue..Basi wapagani wana thinking capacity kubwa [emoji1]
Eti wanasema religion limit your thinking capacity...religion philosophers
binadamu watabaki kuwa binadamu tu,eti quraan kitabu cha MUNGU mwenyewe kuna wenzako watakuja nao watasema biblia ni kitabu cha MUNGU mwenyewe hivyo hivyo mwisho wa siku wote hamjibu hoja mnaanzisha hoja yenu ambayo hata haihusiki........Swali zuri, hili jibu utalipata kwenye Quraan tu, hichi ndo kitabu cha Mungu mwenyewe.
Inabidi niivute Quraan karibu,Kwa sasa sina mda, nkipata mda ntakuja hapa tuelimishane vizuri.
hizi siasa sasa kama sio kujifanya tunajua sana haki kama MUNGU ajuavyoNadhan hoja ya msingi hapa si swala la kuchomwa....bali lile swala la kuchomwa milele....hapo kwenye umilele ndo panaleta utata hasa....! Mfano umefanya dhambi miaka 80 yaan uhai wako wote...vip uje uchomwe milele na milele daima?! Na daima?! Si swala lenye haki kwakweli!