tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,638
Habari zenu watu wa mapenzi?
Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000?
Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula vyombo sana,wenzangu wote wakakata moto wakawa hawajielewi so nikawa na kazi ya kuwasomba kwenye gari ili tuondoke,sasa kuna binti mhudumu wa pale akawa ananisaidia kuwanyanyua wale jamaa zangu mara tukabadilisha namba kesho yake nikamuita mahali nikala mzigo.
Sasa toka jana naona ananiita mubaba.
Nikijicheck me bado kijana kabisa.
So niwaulize ili uitwe mubaba na mabinti hapa town ni formula gani inakua imetumika?