Ni formula gani inatumika mpaka mtu kuitwa na mabinti mubaba hapa mjini?

Ni formula gani inatumika mpaka mtu kuitwa na mabinti mubaba hapa mjini?

Sisi kina mubaba huwa tunakava bills zao nyingi kuliko watu wabahiri. Kwahiyo mzee baba umewekwa kwenye mzani ukaonekana itakuwa kimbilio lake sana huyo kicheche. Vpi hako kadadaa kazuri eeh?
 
Back
Top Bottom