TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,431 Reaction score 31,527 Sep 6, 2025 #21 Sisi kina mubaba huwa tunakava bills zao nyingi kuliko watu wabahiri. Kwahiyo mzee baba umewekwa kwenye mzani ukaonekana itakuwa kimbilio lake sana huyo kicheche. Vpi hako kadadaa kazuri eeh?
Sisi kina mubaba huwa tunakava bills zao nyingi kuliko watu wabahiri. Kwahiyo mzee baba umewekwa kwenye mzani ukaonekana itakuwa kimbilio lake sana huyo kicheche. Vpi hako kadadaa kazuri eeh?