Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

corolla, nzuri🤣🤣🤣, number plate ya jina la ukoo, naheshimika, mkuu wa mkoa, VIJANA WA UWT.

NDIO MAANA MBEYA NYUMBA ZA MATOPE
 
Ulimi unaumba usijenenee kushindwa Mkuu! Utamiliki zaidi ya Range.

Kipendacho roho Mkuu chukua tu Crown uridhishe nafsi
haya maneno yenu ya motivational speaker ndio nisiyoyapenda....eti ulimi unaumba, nyoooooo!!!!
mpaka leo hii miaka nenda udi ulimisi unasema nitagegeda demu wa jf lakini ubao mpaka sasa bila bila, naendelea na nyeto ya mlenda vugu vugu na kubusu ukuta
 
Mungu anampa mtu kwa wakati wake aupendao yeye..nilikuwa natamani sana nimiliki gar nilimiliki leseni nikiwa na ndoto pekee baada ya miaka 10 nikamiliki ist used no D baada ya mwaka nikauza nikanunua IST mpya ninaamin nitamiliki Mazda X5 naipenda Mno naitamani sanaaaa Mungu atanibariki tu nitapata wacha nipambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…